-
Rais wa Tunisia afanya mkutano wa kusitisha maandamano
Jan 14, 2018 04:23Rais wa Tunisia amevunja kimya chake na kufanya mkutano na vyama vya siasa, miungano ya wafanyakazi na shirikisho la waajiri kwa shabaha yan kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kiuchumi na maandamano yanayoshuhudiwa nchini humo kwa siku kadhaa sasa.
-
Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na hali inavyoendelea nchini Tunisia
Jan 13, 2018 04:17Umoja wa Mataifa umesema umetiwa wasiwasi na idadi kubwa ya watu waliotiwa mbaroni nchini Tunisia.
-
Amnesty International yataka kuachwa kukandamizwa waandamanaji Tunisia
Jan 13, 2018 00:14Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeitolea wito kwa serikali ya Tunisia kuacha kutumia mabavu na kuwakandamiza wananchi wanaoandamana.
-
Maandamano ya fujo yaendelea Tunisia; idadi ya waliokamatwa yafikia watu 600
Jan 11, 2018 12:54Maafisa wa serikali ya Tunisia wametangaza kuwa idadi ya watu waliokamatwa katika maandamano ya fujo yaliyoendelea kwa usiku wa tatu hapo jana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia ongezeko la bei za bidhaa na kodi imefikia watu 600.
-
Maandamano ya kulalamikia mfumko wa bei yashtadi Tunisia
Jan 09, 2018 12:21Mtu mmoja ameuawa, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya wananchi wa Tunisia wanaolalamikia mfumko wa bei za bidhaa na kile wanachokitaja kama 'bajeti isiyo ya uadilifu'.
-
Operesheni ya kijeshi ya jeshi la Libya yamalizika katika mpaka wa Tunisia
Jan 09, 2018 01:15Baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya limetangaza habari ya kumalizika operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika eneo la Abu Kammash karibu na kivuko cha Ras Jdir kwenye mpaka wa Libya na Tunisia.
-
Tunisia yapiga marufuku ndege za UAE kutua nchini humo
Dec 25, 2017 03:17Tunisia imetangaza kupiga marufuku ndege za Shirika la Ndege la Emirates la Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE kutua nchini humo. Uamuzi huo umechukuliwa baada ya UAE kuwapiga marufuku wanawake wa Tunisia kuingia UAE au kupitia katika ardhi ya nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia
Dec 24, 2017 12:13Wananchi wa Tunisia kwa mara nyingine wameshiriki katika maandamano makubwa ya kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wasiwasi na mashauriano ya majirani wa Libya kuhusiana na kuendelea mgogoro wa nchi hiyo
Dec 19, 2017 23:05Juhudi za kieneo na kimataifa zenye lengo la kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Libya zinaendelea kushuhudiwa huku hatari ya kuenea ugaidi na ukosefu wa usalama ikizitishia pakubwa nchi za eneo la kaskazini mwa Afrika.
-
Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Dec 07, 2017 04:05Nchi za Kiafrika za Misri, Tunisia na Algeria zimetoa taarifa tofauti za kulaani uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.