-
Al Nahdha: Tuko tayari kuipatanisha serikali ya Misri na Ikhwanul Muslimin
Mar 13, 2017 03:27Mkuu wa harakati ya al Nahdha ya Tunisia amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kulipatanisha kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na serikali ya nchi hiyo.
-
Afisa wa polisi Tunisia auawa na magaidi
Mar 12, 2017 10:27Magaidi wakufurishaji nchini Tunisia wamempiga risasi na kumuua afisa wa polisi nchini Tunisia na kuwajeruhi wengine watatu.
-
Dikteta wa zamani wa Tunisia aendelea kuandamwa na vifungo
Mar 04, 2017 12:32Dikteta aliyeondolewa madarakani wa Tunisia amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kutokana na tuhuma za faili jingine.
-
Tunisia na kuendelea matatizo ya kiuchumi
Mar 01, 2017 23:09Umoja wa Mataifa umeitahadharisha Tunisia kuhusu kutekeleza siasa za kubana matumizi kufuatia kuendelea matatizo ya kiuchumi nchini humo.
-
Watunisia wataka kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yao na Syria
Feb 25, 2017 10:52Makundi ya kiraia nchini Tunisia yametaka kuanzishwa mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi yao na serikali ya Syria.
-
Dikteta wa zamani wa Tunisia ahukumiwa kifungo cha miaka 8 jela
Feb 25, 2017 03:13Dikteta aliyeondolewa madarakani wa Tunisia amehukumiwa kifungo cha miaka 8 jela bila ya kuwepo mahakamani.
-
UN yazishukuru nchi jirani na Libya
Feb 22, 2017 23:33Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amezishukuru nchi jirani na Libya kwa jitihada zao za kutafuta suluhisho la mgogoro wa ndani wa nchi hiyo.
-
Magaidi wawili waangamizwa magharibi mwa Tunisia
Feb 18, 2017 04:13Wizara ya Ulinzi ya Tunisia imetangaza kuwa, magaidi wawili wakufurishaji wameangamizwa katika maeneo ya milimani ya jimbo la Kasserine la magharibi mwa nchi hiyo katika operesheni maalumu ya jeshi ya kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu mingine
Feb 17, 2017 00:19Serikali ya Tunisia imeongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu mingine nchini humo.
-
Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi
Feb 13, 2017 11:40Duru za kuaminika za Tunisia zimesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumwa nchini Syria kupambana bega kwa bega na serikali ya Syria dhidi ya magenge ya kigaidi katika ardhi ya nchi hiyo.