-
UN hali ya jela nchini Tunisia inatia wasiwasi
Feb 04, 2017 12:52Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya jela za Tunisia inatia wasiwasi.
-
Kurefushwa muda wa hali ya hatari nchini Tunisia
Jan 20, 2017 11:57Rais Muhammad Al-Baji Qaid As-Ssebsi wa Tunisia jana alitangaza kurefushwa sheria ya hali ya hatari nchini humo kwa muda mwingine wa mwezi mmoja. Baada ya kushauriana na Waziri Mkuu Yusuf Ash-Shahid, Rais As-Ssebsi ametangaza kuwa sheria ya hali ya hatari itaendelea kutekelezwa nchi nzima kuanzia tarehe 17 Januari hadi tarehe 15 Februari.
-
Tunisia na tatizo la kurejea magaidi
Jan 17, 2017 09:41Kurejea katika nchi zao magaidi waliojiunga na makundi ya kigaidi lingali miongoni mwa matatizo na changamoto kubwa ambazo ni gumzo barani Ulaya na Afrika.
-
Watunisia waandamana kuunga mkono mapinduzi
Jan 14, 2017 09:23Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano leo katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kuadhimisha mwaka wa 6 tangu wafanye mapinduzi yaliyoindoa madarakani serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Zainul Abidin bin Ali.
-
Tunisia katika mtanziko wa kiusalama; magaidi elfu tatu wapo nje ya nchi
Jan 02, 2017 22:55Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia tarehe 31 mwezi Disemba mwaka jana alieleza kuwa magaidi elfu tatu raia wa Tunisia wametapakaa katika pembe mbalimbali za dunia khususan huko Iraq, Syria na Libya.
-
Rais wa Tunisia: Yamkini Israel ilimuua mhandisi wa drone za Hamas
Jan 02, 2017 11:38Rais wa Tunisia amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika katika mauaji ya mhandisi Mtunisia Mohammad Zaouari ambaye alikuwa mtegenezaji wa ndege zisizo na rubani au drone za harakati ya kupigania ukombozi wa Palestina, Hamas.
-
Mamia ya matakfiri wanaorejea Tunisia wakamatwa
Dec 31, 2016 03:57Msemaji wa serikali ya Tunisia ametangaza habari ya kukamatwa mamia ya matakfiri wanaorejea nchini humo kutoka eneo la Mashariki ya Kati.
-
Watunisia wakataa fikra za Kiwahabi
Dec 28, 2016 04:11Wananchi wa Tunisia hususan tabala la wasomi na wanafikra wa nchi hiyo wamekataa kupokea fikra za kiwahabi licha ya Saudi Arabia kutumia fedha na wakati mwingi kueneza na kusambaza fikra na mitazamo ya kisalafi na kiwahabi katia nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Tahadhari ya maafisa usalama wa Tunisia kuhusu kurejea magaidi nchini humo
Dec 27, 2016 01:11Licha ya kupita miaka sita ya tangu kutokea mapinduzi ya wananchi huko Tunisia, hali ya usalama ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika bado si ya utulivu na hivi sasa kuna wasiwasi mkubwa wa kurejea magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi nchini humo.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Tunisia kuelekea Syria kwenda kumwomba radhi Rais Assad
Dec 26, 2016 12:47Ujumbe wa viongozi wa vyama vya siasa vya Tunisia unatazamiwa kuelekea nchini Syria kwa madhumuni ya kwenda kumwomba radhi Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.