-
Jumanne, tarehe tatu Februari, 2026
Feb 02, 2026 22:54Leo ni Jumanne tarehe 14 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na tarehe tatu Februari 2026.
-
Rwanda yapiga marufuku mashirika, asasi kushirikiana na Ubelgiji
Mar 28, 2025 03:54Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi nchini humo kushirikiana na serikali ya Ubelgiji na mashirika yake tanzu.
-
Jumatatu, tarehe tatu Februari, 2025
Feb 02, 2025 23:01Leo ni Jumatatu tarehe 4 Shaabani 1446 Hijria, sawa na tarehe tatu Februari 2025.
-
Jumatatu, 25 Machi, 2024
Mar 24, 2024 22:38Leo ni Jumatatu tarehe 14 Ramadhani 1445 Hijria, sawa na tarehe 25 Machi, 2024.
-
Jumamosi, 03 Februari, 2024
Feb 02, 2024 23:00Leo ni Jumamosi 22 Rajab 1445 Hijria sawa na 3 Februari 2024 Miladia.
-
Waziri Mkuu wa Ugiriki: Uchaguzi wa Uturuki utaainisha uhusiano wa nchi mbili
May 01, 2023 21:54Waziri Mkuu wa Ugiriki amesisitiza kuwa uchaguzi wa Rais wa Uturuki uliopangwa kufanyika Mei 14 mwaka huu utaainisha mustakbali wa uhusiano baina ya Athens na Ankara.
-
Jumamosi, 25 Machi, 2023
Mar 25, 2023 07:07Leo ni Jumamosi tarehe 3 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1444 Hijria, mwafaka na tarehe 25 Machi 2023 Miladia.
-
Ijumaa, tarehe 3 Februari, 2023
Feb 02, 2023 23:35Leo ni Ijumaa tarehe 12 mwezi Rajab 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 3 Februari 2023.
-
Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe
Sep 12, 2022 02:32Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow vimetoa pigo la kiuchumi kwa nchi zenyewe za Ulaya kabla ya hata Russia.
-
Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba
Jul 26, 2022 22:32Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ugiriki umetangaza kuwa operesheni ya kuyahamisha na kuyarejesha mafuta ya Iran yaliyoibwa itaanza hivi karibuni.