-
Marais wa Tanzania na Afrika Kusini wapigia debe fursa za uwekezaji
Aug 15, 2019 13:19Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani amewakaribisha wafanyabiashara wa Afrika Kusini kwenda kuwekeza katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za afya, hoteli, utalii wa fukwe na uchakataji wa madini
-
Jumatatu tarehe 25 Machi 2019
Mar 25, 2019 00:10Leo ni Jumatatu tarehe 18 Rajab 1440 Hijria sawa na tarehe 25 Machi mwaka 2019.
-
Ubelgiji yatakiwa kuiomba radhi DRC kwa jinai za enzi za ukoloni
Feb 12, 2019 14:25Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Ubelgiji iiombe radhi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na jinai ilizowafanyia Wakongomani katika kipindi cha ukoloni.
-
Jumapili Februari 3
Feb 03, 2019 01:23Leo ni Jumpilii tarehe 27 Jamadul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe tatu Fenruari 2019 Miladia.
-
Kotzias: Wahajiri wanapewa viza za Ugiriki kwa shabaha ya kunyofolewa viungo vyao
Dec 02, 2018 03:41Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Ugiriki amefichua kwamba, baadhi ya mabalozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo nje ya nchi wanawapa watoto wa wahajiri viza na vibali vya kuingia nchini humo kwa lengo la kwenda kunyofolewa viungo vyao na kuuzwa katika masoko ya magendo.
-
Watu 74 wapoteza maisha katika janga la moto nchini Ugiriki
Jul 25, 2018 04:27Idadi ya watu waliopoteza maisha nchini Ugiriki baada ya moto mkubwa kuzuka kilomita 35 mashariki mwa mji mkuu Athens imefikia 76.
-
Ubelgiji yasimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia
Jul 01, 2018 07:53Mahakama ya Juu ya Ubelgiji imesimamisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia ikisema kuwa serikali ya nchi hiyo ilishindwa kutathmini rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu ya utawala huo wa kifalme kabla ya kutoa leseni za kuruhusu mauzo hayo.
-
Bemba awasili nchini Ubelgiji baada ya kuachiwa huru na ICC
Jun 16, 2018 07:21Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba, ambaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC siku chache zilizopita ilimuondoa hatiani kuhusu jinai za kivita, amewasili nchini Ubelgiji baada ya kuachiliwa huru na mahakama hiyo.
-
Jumapili, Machi 25, 2018
Mar 25, 2018 05:23Leo ni Jumapili tarehe saba Rajab 1439 Hijiria inayosadifiana na tarehe 25 Machi mwaka 2013 Miladia.
-
Kongo DR yaiagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake nchini humo na ipunguze safari za ndege
Feb 07, 2018 08:17Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake mdogo ulioko nchini humo sambamba na kupunguza safari za ndege za shirika la Brussels Airlines kueleka katika nchi hiyo ya Kiafrika.