-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 10:50Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Taifa kubwa lenye mamia ya maelfu ya watu wasio na makazi
Dec 31, 2024 02:42Hali ya kiuchumi na kijamii imekuwa ngumu zaidi kwa raia wa Marekani, na idadi ya watu wasio na makazi katika nchi hiyo imefikia rekodi ya kihistoria katika miaka ya hivi karibuni.
-
Israel yapata hasara ya dola bilioni 67 kutokana na vita vya Gaza
Aug 16, 2024 07:36Wachumi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefichua hasara kubwa za kiuchumi za vita vya Gaza kwa utawala huo na kusema, uchumi wa Israel unakabiliwa na mgogoro usioweza kudhibitiwa.
-
NYT: Ukuaji wa uchumi wa Russia utaupiku wa US na EU
Oct 12, 2023 02:32Gazeti la New York Times limeripoti kuwa, uchumi wa Russia ni imara na madhubuti kinyume na matarajio ya serikali za Magharibi, ambazo zilitazamia uchumi huo utalemazwa kikamilifu na vikwazo vyao dhidi ya Moscow.
-
Khumsi (moja ya tano) ya uchumi wa dunia yawekewa vikwazo na Marekani
Jul 27, 2023 07:37Licha ya kuwa vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali dfuniani ni mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi na viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza nchi tofauti kufuata siasa zao za ubabe, lakini mbinu hii imekuwa na matokeo hasi kwa Washington katika kipindi cha muda mrefu.
-
Ughali wa maisha Uingereza: Wafanyakazi wa usalama wa Heathrow wagoma
Apr 02, 2023 02:29Wafanyikazi wa usalama wa Uwanja wa Ndege wa Heathrow mjini London nchini Uingereza wameanzisha mgomo wa siku 10, wakiungana na wafanyakazi wengine wa serikali na wafanyikazi wa sekta kadhaa nchini humo ambao wamegoma wakitaka nyongeza kubwa ya mishahara kutokana na mfumuko wa bei unaozidi kuongezeka.
-
Hassan Qomi: Iran inashirikiana na serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Jan 12, 2023 04:17Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Afghanistan ameeleza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashirikiana na serikaliya muda ya Taliban katika nyanja mbalimbali ikiwemo nyanja ya kiuchumi kwa kuzingatia siasa za kuwasaidia wananchi wa Afghanistan.
-
Akhlaqi Katika Uislamu (39)
Nov 10, 2022 16:59Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yako mpendwa msikilizaji popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha kusikiliza sehemu hii ya 39 ya kipindi cha Akhlaqi Katika Uislamu nikiwa na matumaini kuwa, mimi pamoja na wewe tutanufaika na yale tutakayoyasikia katika kipindi hiki ambacho kwa leo kitazungumzia Akhlaqi za Kiuchumi katika Uislamu. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Kupungua thamani ya pauni; kudorora uchumi wa Uingereza
Sep 25, 2022 07:49Ikiwa ni katika kuendelea kupanuka mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya na athari za mpango wa kiuchumi wa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Liz Truss, siku ya Ijumaa, thamani ya pauni ya nchi hiyo ilifikia kiwango chake cha chini kabisa katika kipindi cha miaka 37 iliyopita.
-
75% ya Wamarekani wakatishwa tamaa na uchumi mbaya wa nchi yao
Jun 27, 2022 11:23Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamekatishwa tamaa na hali mbaya ya uchumi wa nchi hiyo.