Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Tarehe ya mwisho iliyotolewa na Niger kwa askari wa Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo

    Tarehe ya mwisho iliyotolewa na Niger kwa askari wa Ufaransa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo

    Aug 31, 2023 23:33

    Baraza la Taifa kwa ajili ya Ulinzi wa Wat'ani, (National Council for the Safeguard of the Homeland, CNSP) ambalo liliundwa hivi majuzi na viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, limeitaka Ufaransa ihakikishe kuwa ifikapo Septemba 3, iwe imeshaondoa vikosi vya jeshi lake vilivyoko nchini humo.

  • Niger yawataka wanajeshi wa mkoloni Ufaransa waondoke nchini humo haraka

    Niger yawataka wanajeshi wa mkoloni Ufaransa waondoke nchini humo haraka

    Aug 31, 2023 03:23

    Serikali ya Niger imetoa amri kwa wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa wafungashe virago na toke nchini humo haraka.

  • Kupigwa marufuku vazi la Abaya katika shule za umma nchini Ufaransa

    Kupigwa marufuku vazi la Abaya katika shule za umma nchini Ufaransa

    Aug 29, 2023 22:56

    Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za Magharibi zimeonyesha sera za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nyanja mbalimbali za kisiasa na kijamii.

  • Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa

    Hatua ya Burkina Faso ya kufuta mikataba ya kikoloni ya Ufaransa

    Aug 16, 2023 22:59

    Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso ametangaza kuwa nchi yake imefuta mikataba kadhaa iliyokuwa imesaini na serikali ya Ufaransa, ambayo hadi sasa imekuwa na sura ya ukoloni na ya kujali maslahi ya upande mmoja.

  • Mali yasitisha kutoa huduma ya viza kwa raia wa Ufaransa

    Mali yasitisha kutoa huduma ya viza kwa raia wa Ufaransa

    Aug 11, 2023 04:24

    Nchi ya Mali imesitisha kutoa viza kwa raia wa Ufaransa kwa muda usiojulikana kuanzia jana Alhamisi.

  • Viongozi wa mapinduzi Niger waishutumu Ufaransa kwa kukiuka anga ya nchi hiyo

    Viongozi wa mapinduzi Niger waishutumu Ufaransa kwa kukiuka anga ya nchi hiyo

    Aug 09, 2023 23:25

    Baraza la kijeshi la viongozi wa mapinduzi nchini Niger limeishutumu Ufaransa kuwa imekiuka anga iliyofungwa ya nchi hiyo.

  • Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika

    Maseneta wa Ufaransa wakosoa sera ya Macron barani Afrika

    Aug 09, 2023 08:10

    Maseneta karibu 100 wa Ufaransa wamekosoa vikali sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo barani Afrika na kusisitiza kuwa, sera hizo zimechochea misimamo hasi dhidi ya Ufaransa katika nchi za bara hilo.

  • Times: Mapinduzi ya Niger yameonyesha kushindwa kwa sera mbovu za Ufaransa barani Afrika

    Times: Mapinduzi ya Niger yameonyesha kushindwa kwa sera mbovu za Ufaransa barani Afrika

    Aug 08, 2023 11:45

    Gazeti la Times linalochapishwa nchini Uingereza limekosoa kile lilichoeleza kuwa ni sera za "kutapatapa" za Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, katika makoloni ya zamani ya Ufaransa barani Afrika.

  • Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger

    Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger

    Aug 06, 2023 03:45

    Algeria imepinga vikali mpango wa kuingia kijeshi nchini Niger, kwa lengo la kuhitimisha mapinduzi ya kijeshi ya mwishoni mwa mwezi uliopita, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.

  • Niger yasimamisha matangazo ya France 24 na RFI

    Niger yasimamisha matangazo ya France 24 na RFI

    Aug 04, 2023 04:37

    Serikali ya mpito ya kijeshi ya Niger imetangaza kusitisha nchini humo matangazo na shughuli za redio ya Kifaransa ya RFI na televisheni ya France 24 zinazofadhiliwa na serikali ya Ufaransa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS