-
Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya
Jun 22, 2020 04:52Ibrahim Kalin, Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa usitishaji vita utatekelezwa nchini Libya kwa sharti kuwa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Hafta waondoke katika mji wa Sirte.
-
HRW yaitaka Ufaransa kukomesha mienendo ya kibaguzi ya polisi
Jun 19, 2020 02:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetoa taarifa likiituhumu Polisi ya Ufaransa kuwa inaamiliana kibaguzi na raia wenye asili ya Kiarabu na Kiafrika wa nchi hiyo.
-
Macron apinga kushambuliwa nembo za kikoloni
Jun 15, 2020 22:05Kufuatia kuenea maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na utaifa huko Marekani ambapo wimbi lake limeenea pia barani Ulaya; wafanya maandamano na wale wote wanaopinga vitendo hivyo vya ubaguzi wameshambulia nembo mbalimbali za kikoloni katika nchi mbalimbali duniani ambazo kwa karne kadhaa zilipelekea raia weusi kutumiwa kama watumwa katika nchi za Magharibi. suala hilo limepingwa na baadhi ya wakuu wa Ulaya akiwemo Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.
-
Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yake
May 27, 2020 22:47Felicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.
-
Jumanne, Mei 26, 2020
May 25, 2020 21:51Leo ni Jumanne tarehe 3 Mfunguo Mosi Shawwal 1441 Hijria, sawa na tarehe 26 Mei, 2020 Miladia.
-
Radiamali ya Ufaransa kuhusu jitihada za Marekani za kurejesha vikwazo dhidi ya Iran
May 16, 2020 03:34Ufaransa imetoa radiamali yake kuhusu vitisho vya Marekani vya kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa inafungamana na mapatnao ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Senegal yalalamikia kitendo cha Ufaransa cha kuanzisha safari za ndege za upande mmoja kuingia Dakar
May 15, 2020 21:58Rais Macky Sall wa Senegal amelaani kitendo cha shirika la ndege la Ufaransa kuanzisha safari za upande mmoja kuingia mjini Dakar, mji mkuu wa Senegal na kusisitiza kwamba, hadi sasa Ufaransa bado inazihesabu nchi za Afrika kuwa ni koloni lake.
-
Rais wa Algeria: Kupita zama hakuwezi kuifanya historia isahau jinai za dola koloni la Ufaransa
May 08, 2020 06:56Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, nusu ya wakazi wa nchi hiyo waliuawa katika jinai kubwa ya umwagaji damu iliyofanywa na Ufaransa katika kipindi cha ukoloni; na kupita zama katu hakuwezi kufuta jinai hizo katika kurasa za historia.
-
Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano
May 06, 2020 20:09Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
-
Upinzani wa madola ya Ulaya kwa takwa la Marekani la kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Apr 30, 2020 07:35Moja ya vipengee muhimu katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran baada ya miaka mitano tangu kuanza kutekelezwa makubaliano hayo.