-
Kamati za Bunge la Kenya zatuhumiwa kula rushwa na kufanya ufisadi
Apr 13, 2021 13:42Kamati za Bunge la Kenya zimetuhumiwa kuwa zinakula rushwa na kuhusika na ufisadi kutokana na wabunge wanaosimamia kamati hizo kufumbia macho uhalifu na mashtaka yanayowasishwa mkabala wa kula rushwa na kupokea hongo.
-
UN: Ufisadi wa fedha umejiri katika kumchagua Waziri Mkuu wa Libya
Mar 01, 2021 12:25Ripoti ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa, rushwa ya fedha ilitolewa kwa watu wasiopungua 3 ambao ni wajumbe wa kikao cha mazungumzo ya kisiasa ya Libya katika kumchagua Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
Rais wa zamani wa Sierra Leone azuiwa kuondoka nchini, kisa ufisadi
Sep 30, 2020 12:47Serikali ya Sierra Leone imemuwekea vikwazo vya kusafiri nje ya nchi aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ernest Bai Koroma anayeandamwa na tuhuma za ufisadi wa kifedha.
-
Mfalme wa zamani wa Uhispania akimbia nchi kwa kashfa ya mlungula wa Saudi Arabia
Aug 04, 2020 08:03Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos ameondoka nchini humo na kuelekea kusikojulikana wiki kadhaa baada ya kuhusishwa na ufisadi na kashfa ya kupokea mlungula kutoka kwa mfalme wa zamani wa Saudi Arabia.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia apatikana na hatia ya ufisadi na kutumia vibaya madaraka
Jul 28, 2020 10:32Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amepatikana na hatia katika tuhuma zinazomkabili ikiwa ni pamoja na kuhusika na ufisadi, kutumia vibaya madaraka na kutakatisha fedha chafu.
-
Mahakama ya Algeria yawahukumu kifungo jela mawaziri wakuu wawili wa zamani
Dec 10, 2019 12:02Mahakama ya Sidi M'Hamed katika mji mkuu wa Algeria, Algiers imewahukumu vifungo vya muda mrefu jela mawaziri wakuu wawili wa zamani wa nchi hiyo baada ya kupatikana na hatia zinazohusiana na ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
-
Thales yakata rufaa katika kesi ya ufisadi ya Zuma huko Afrika Kusini
Nov 05, 2019 14:11Kampuni ya kuuza silaha ya Thales ya Ufaransa imetangza kuwa, itaitaka Mahakama ya Juu ya Afrika Kusini ruhusa ya kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa mwezi uliopita wa Oktoba iliyokataa kusitishwa kabisa kesi ya kula rushwa inayomkabili rais wa zamani wan chi hiyo, Jacob Zuma.
-
Sarkozy akabiliwa na kifungo cha mwaka mmoja jela
Oct 03, 2019 04:15Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy anakabiliwa na kifungo na faini iwapo mashtaka yanayomkabili yatathibitishwa na mahakama ya nchi hiyo.
-
Wazambia waandamana kulalamikia ufisadi wa serikali
Jul 21, 2019 12:37Maelfu ya wananchi wa Zambia wamefanya maandamano kulalamikia ufisadi mkubwa wa kifedhi ndani ya serikali ya nchi hiyo.
-
TI: Jitihada za Magufuli za kupambana na ufisadi Tanzania zinazaa matunda
Jul 14, 2019 07:28Utendakazi na jitihada za kupambana na ufisadi za Rais John Magufuli wa Tanzania zimeifanya nchi hiyo ya Afrika Mashariki ishike nafasi ya kwanza barani Afrika katika vita dhidi ya ufisadi.