-
Rais wa zamani wa Korea Kusini afungwa miaka 24 jela kwa ufisadi
Apr 06, 2018 14:00Mahakama ya Korea Kusini imemhukumu kifungo cha miaka 24 jela, rais wa nchi hiyo aliyeuzuliwa Park Geun-hye, baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi wa kifedha iliyokuwa ikimkabili.
-
Mbunge wa Israel: Anachokifanya Netanyahu Syria, ni kupotosha tuhuma za ufisadi wake
Feb 11, 2018 07:23Mwakilishi wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Knesset, amesema kuwa, hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ya kuzusha mizozo ndani ya utawala huo ni kujaribu kupotosha fikra za walio wengi kuhusiana shutuma kubwa za ufisadi wa fedha zinazomkabili.
-
Chama tawala Afrika Kusini kumuuzulu Rais Zuma kwa nguvu
Jan 21, 2018 07:43Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimetishia kumuuzulu Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo iwapo hatakubali kuachia ngazi kwa khiari.
-
Waisraeli waandamana dhidi ya Netanyahu kwa wiki ya tano
Dec 31, 2017 14:47Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kwa wiki ya tano mfululizo kushiriki maandamano ya kushinikiza kufungwa jela Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.
-
Kiongozi mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini aahidi kupambana na ufisadi
Dec 21, 2017 16:16Cyril Ramaphosa kiongozi mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini ANC amesema leo kuwa ameazimia kukomesha ufisadi na kutekeleza sera ya mageuzi makali ya kiuchumi ambayo yataharakisha utaifishaji wa ardhi bila ya fidia.
-
Waisraeli waandamana Tel Aviv dhidi ya ufisadi wa Netanyahu
Oct 08, 2017 07:50Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu utawala wa Kizayuni wameandamana huko Tel Aviv wakitaka kushughulikiwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu.
-
Kashfa ya ufisadi yamlazimu Waziri wa Afya Marekani ajiuzuluu kutoka serikali ya Trump
Sep 30, 2017 04:48Waziri wa Afya na Huduma za Binaadamu nchini Marekani, Tom Price amelazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi inayomkabili.
-
Rais aliyeuzuliwa Korea Kusini akamatwa na kuzuiliwa na polisi
Mar 31, 2017 14:42Rais aliyeondolewa madarakani hivi karibuni wa Korea Kusini, Park Geun-hye amekamatwa na polisi ya nchi hiyo kwa tuhuma za ufisadi na utumiaji mbaya wa madaraka.
-
Waendesha mashtaka Korea Kusini washinikiza kukamatwa rais aliyeuzuliwa
Mar 27, 2017 07:50Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wametoa wito wa kutolewa waranti wa kukamatwa rais aliyeondolewa madarakani hivi karibuni wa nchi hiyo, Park Geun-hye.
-
Sisitizo la wapinzani wa Netanyahu la kujiuzulu Waziri Mkuu huyo wa Israel
Feb 05, 2017 07:20Upinzani dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka sana hivi sasa. Mamia ya wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wanaendelea kuandamana wakimshikinikiza Netanyahu ajiuzulu.