-
Benjamin Netanyahu azidi kuandamwa
Jan 15, 2017 03:47Mamia ya wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kulaani ufisadi wa kifedha wa viongozi wa utawala huo hususan Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, mjini Tel Aviv.
-
SID: Serikali ya Jubilee nchini Kenya imeshindwa kupambana na ufisadi
Dec 15, 2016 03:23Shirika la kutetea haki za umma la SID limetangaza kuwa SERIKALI ya Jubilee nchini Kenya imetimiza ahadi moja pekee kati ya 30 ilizotoa kuhusiana na mikakati ya kupambana na ufisadi.
-
Maandamano ya raia wa Mali ya kuunga mkono maridhiano ya kitaifa
Jul 31, 2016 09:17Maelfu ya wananchi wa Mali wameshiriki katika maandamano makubwa ya kuunga mkono makubaliano ya amani na makundi ya wabeba silaha nchini.
-
Rais wa ICC atakiwa kujiuzulu kwa kupokea rushwa ili 'kumshtaki al-Bashir'
Jul 27, 2016 02:52Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC anakabiliwa na mashinikizo ya kila upande ya kutaka ajiuzulu ili kupisha uchunguzi huru wa madai ya ufisadi wa kifedha dhidi yake katika kesi dhidi ya Rais wa Sudan Omar al-Bashir.
-
Uchunguzi wa kashfa za ufisadi dhidi ya Netanyahu waanza rasmi
Jul 11, 2016 03:13Mwezi mmoja baada ya televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutangaza kuwa, polisi ya utawala huo inaendesha uchunguzi wa siri kuhusiana na kashfa za ufisadi wa fedha dhidi Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu, sasa Mwanasheria Mkuu wa utawala huo amesema uchunguzi huo umefunguliwa rasmi.
-
Rufaa ya Zuma kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake yakataliwa
Jun 24, 2016 10:14Mahakama Kuu mjini Pretoria nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ya kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi wa kifedha dhidi yake, hatua ambayo ni pigo kwa rais huyo ambaye anakabiliwa na mashinikizo ya kujiuzulu kutoka viongozi wa upinzani.
-
Zuma akata rufaa kupinga kufufuliwa kesi za ufisadi dhidi yake
Jun 10, 2016 09:36Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuagiza kufufuliwa kesi zaidi ya 700 za ufisadi wa kifedha dhidi yake.
-
Jitihada za serikali ya Kongo Brazaville katika kupambana na ufisadi
Jun 04, 2016 23:17Serikali ya Jamhuri ya Kongo au Kongo Brazaville imesema kuwa ufisadi wa fedha unaoikabili nchi hiyo unakwamisha ustawi wa kiuchumi na kijamii nchini humo.
-
Mali waandamana kupinga ufisadi wa kuchupa mipaka wa viongozi wa serikali
May 22, 2016 03:46Maelfu ya raia wa Mali wamefanya maandamano makubwa mjini Bamako, mji mkuu wa nchi hiyo kulalamikia utendaji duni wa serikali na ufisadi mkubwa wa viongozi wa serikali.
-
AU yaelezea kusikitishwa na kiwango kikubwa cha ufisadi barani Afrika
May 08, 2016 03:05Umoja wa Afrika AU umeelezea kusikitishwa sana na kiwango cha juu cha ufisadi katika nchi za bara hilo.