Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Trump ataka kuchunguzwa ustahiki wa raia wa Ufaransa na Ujerumani

    Trump ataka kuchunguzwa ustahiki wa raia wa Ufaransa na Ujerumani

    Jul 24, 2016 08:49

    Donald Trump mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani ametaka kuchunguzwa ustahiki wa raia wa Ufaransa na Ujerumani.

  • Özdemir: Saudia ndiyo chimbuko la ugaidi wa kimataifa

    Özdemir: Saudia ndiyo chimbuko la ugaidi wa kimataifa

    Jul 24, 2016 10:40

    Mwenyekiti wa Chama cha Kijani cha Ujerumani (Green Party) amesema kuwa Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi unaoonekana kote duniani.

  • Rezaei: Saudia inaendelea kutuma magaidi nchini Iran

    Rezaei: Saudia inaendelea kutuma magaidi nchini Iran

    Jul 24, 2016 03:27

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameikosoa vikali Saudi Arabia kwa kuendelea kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kuyatuma hapa nchini kutekeleza mashambulizi.

  • Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo

    Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo

    Jul 21, 2016 23:49

    Waziri Mkuu wa Ufaransa ameonya kuhusu hatari ya kuhujumiwa Waislamu wanaoishi nchini humo.

  • Wanafunzi wa sekondari Senegal wakamatwa kwa 'ugaidi'

    Wanafunzi wa sekondari Senegal wakamatwa kwa 'ugaidi'

    Jul 20, 2016 03:09

    Polisi ya Senegal inawazuilia wanafunzi wanne wa shule moja ya upili kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kigaidi.

  • Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi

    Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi

    Jul 18, 2016 09:30

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.

  • Ushirikiano wa Togo na Burkina Faso katika vita dhidi ya ugaidi

    Ushirikiano wa Togo na Burkina Faso katika vita dhidi ya ugaidi

    Jul 18, 2016 23:50

    Nchi mbili za magharibi mwa Afrika za Togo na Burkina Faso zimesisitizia wajibu wa kushirikiana katika kupambana na ugaidi kwenye eneo lao.

  • Rais Sally: Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi

    Rais Sally: Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi

    Jul 17, 2016 03:36

    Rais wa Senegal amesema kuwa Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi duniani.

  • Ripoti ya siri ya Kongresi: Saudia ilihusika katika mashambulizi ya Septemba 11

    Ripoti ya siri ya Kongresi: Saudia ilihusika katika mashambulizi ya Septemba 11

    Jul 16, 2016 02:18

    Kongresi ya Marekani imechapicha sehemu moja ya ripoti ya siri kuhusu mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani mbayo inaeleza uwezekano kwamba Saudi Arabia ilikuwa na uhusiano na watekelezaji wa mashambulizi hayo.

  • Wanajeshi wa Iraq waikaribia ngome kuu ya Daesh, Mosul

    Wanajeshi wa Iraq waikaribia ngome kuu ya Daesh, Mosul

    Jul 14, 2016 23:42

    Wanajeshi wa Iraq wamekaribia kufika kwenye mji wa Mosul ambao ni ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh yaani ISIS, katika juhudi za Baghdad za kuwafurusha magaidi hao katika kona zote za nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS