-
Serikali ya Uganda yapiga marufuku televisheni kuonesha maandamano ya wapinzani
May 06, 2016 00:02Serikali ya Uganda imepiga marufuku kanali za televisheni za nchi hiyo kuonesha moja kwa moja maandamano ya wapinzani.
-
Polisi Uganda yazima mkutano wa upinzani, kadhaa wakamatwa
May 03, 2016 12:02Maafisa wa polisi nchini Uganda wamezima mkutano wa kila wiki wa chama cha upinzani cha FDC na kukamata wafuasi kadhaa wa chama hicho.
-
Polisi Uganda: Maandamano ya upinzani hayana kibali
Apr 30, 2016 03:27Polisi ya Uganda imeonya wafuasi wa upinzani nchini humo dhidi ya kushiriki maandamano ya Mei 5 na kusisitiza kuwa maandamano hayo hayajapata ridhaa ya serikali.
-
LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016
Apr 24, 2016 23:34Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka huu.
-
Uganda: Saudia inawashikilia wanawake 12 raia wetu
Apr 21, 2016 10:53Bunge la Uganda limearifiwa kuwa wanawake 12 raia wa nchi hiyo wanashikiliwa chini ya mazingira magumu nchini Saudi Arabia.
-
Ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, Tanzania yaipiku Kenya
Apr 16, 2016 11:36Uganda imeamua kujenga bomba la mafuta kupitia Tanzania badala ya Kenya.
-
Waasi wa Uganda washambulia mashariki mwa DRC
Apr 12, 2016 23:52Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya waasi wa Uganda kufanya mashambulizi kwenye maeneo hayo.
-
Mkutano wa kujadili bomba la mafuta Afrika Mashariki unafanyika nchini Uganda
Apr 11, 2016 23:19Mkutano unaohusu ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Bahari ya Hindi ulianza jana katika mji mkuu wa Uganda Kampala.
-
Kamanda mwandamizi wa FDLR akamatwa na polisi ya Uganda
Apr 05, 2016 02:44Kamanda mwandamizi wa kundi la waasi wa Rwanda la FDLR amekamatwa katika mji mkuu wa Uganda, Kampala.
-
Mahakama ya Juu Uganda yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Museveni
Mar 31, 2016 09:33Mahakama ya Juu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Waziri Mkuu wa zamani nchini humo Amama Mbabazi ya kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa rais wa Februari mwaka huu.