Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Ripoti: Waganda milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa

    Ripoti: Waganda milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa

    Mar 28, 2016 09:07

    Ripoti mpya imeonyesha kuwa mamilioni ya wananchi wa Uganda wanakabiliwa na baa la njaa. Asilimia 11.8 ya Waganda, ambayo ni zaidi ya watu milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na umaskini na ugumu wa maisha.

  • Idadi ya Waislamu yaongezeka Uganda, ya Wakatoliki yadidimia

    Idadi ya Waislamu yaongezeka Uganda, ya Wakatoliki yadidimia

    Mar 27, 2016 22:29

    Imearifiwa kuwa idadi ya watu wanaojiunga na dini tukufu ya Kiislamu nchini Uganda inazidi kuongezeka kwa kasi huku idadi ya wanaojiunga na Kanisa Katoliki ikizidi kupungua.

  • Askari wa UN Kongo DR waua waasi kadhaa wa Uganda

    Askari wa UN Kongo DR waua waasi kadhaa wa Uganda

    Mar 26, 2016 03:45

    Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO kikishirikiana na jeshi la nchi hiyo kimesema kimefanikiwa kuangamiza idadi kubwa ya waasi wa Uganda mashariki mwa nchi.

  • Mahakama ya ICC yathibitisha mashtaka 70 dhidi ya kamanda wa LRA

    Mahakama ya ICC yathibitisha mashtaka 70 dhidi ya kamanda wa LRA

    Mar 23, 2016 21:31

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye makao yake mjini The Hague, Uholanzi imethibitisha mashtaka 70 yanayomkabili Dominic Ongwen, kamanda wa zamani wa kundi la waasi wa kaskazini mwa Uganda wa Lords Resistance Army (LRA).

  • Marais wa Kenya na Uganda wanakutana jijini Nairobi kujadili bomba la Mafuta

    Marais wa Kenya na Uganda wanakutana jijini Nairobi kujadili bomba la Mafuta

    Mar 21, 2016 03:51

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenzake wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wanakutana leo jijini Nairobi kwa shabaha ya kujadili ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kati ya nchi hizo mbili.

  • Watu  22 wameuawa katika machafuko baada ya uchaguzi Uganda

    Watu 22 wameuawa katika machafuko baada ya uchaguzi Uganda

    Mar 14, 2016 12:49

    Polisi ya Uganda imetangaza kuwa mapigano yaliyojiri magharibi mwa nchi hiyo kati ya wafuasi wa wagombea uchaguzi wanaohasimiana ambao walishiriki katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo yameuwa watu 22 na kuwajeruhi wengine 10.

  • Rais Rouhani ampongeza Rais Museveni kwa kuchaguliwa

    Rais Rouhani ampongeza Rais Museveni kwa kuchaguliwa

    Mar 13, 2016 03:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa kuchaguliwa tena hivi karibuni kuiongoza nchi hiyo.

  • Museveni asema hatogawana madaraka na wapinzani

    Museveni asema hatogawana madaraka na wapinzani

    Mar 04, 2016 04:20

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema hawezi kugawana madaraka na kambi ya upinzani kwani alishinda kihalali kwenye uchaguzi mkuu wa Februari 18.

  • Watoto wa Uganda wamekuwa wakiuawa na wengine kukatwa viungo katika kipindi cha uchaguzi kwa imani za kishirikina

    Watoto wa Uganda wamekuwa wakiuawa na wengine kukatwa viungo katika kipindi cha uchaguzi kwa imani za kishirikina

    Feb 29, 2016 22:08

    Taasisi moja ya kuwahami watoto wa Kiafrika imetangaza kuwa, katika uchaguzi wa hivi karibuni nchini Uganda watoto sita waliuawa au kukatwa viungo kwa imani za kishirikina.

  • Uganda yaimarisha hatua za usalama kabla ya maandamano ya wapinzani

    Uganda yaimarisha hatua za usalama kabla ya maandamano ya wapinzani

    Feb 29, 2016 04:32

    Serikali ya Uganda imechukua hatua kali za usalama kabla ya maandamano yaliyopangwa kufanywa leo na kambi ya upinzani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS