-
Malaysia yaziasa nchi za D-8 zikate uhusiano wa kiuchumi na Israel
Jun 10, 2024 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia amezitaka nchi wanachama wa kundi la D-8 kuvunja uhusiano wao wa kiuchumi na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Ulinzi wa Russia: Uhusiano na Iran 'unafikia kiwango kipya' licha ya vikwazo
Sep 21, 2023 02:54Waziri wa Ulinzi wa Russia, Jenerali Sergei Shoigu anasema uhusiano wa nchi hiyo na Iran "unafikia kiwango kipya" kinyume na kampeni ya mashinikizo ya Magharibi inayolenga nchi zote mbili.
-
Safari ya John Kerry mjini Beijing: Jitihada za kuzuia ukaribu wa China na Russia
Jul 18, 2023 05:19John Kerry, mwanadiplomasia mkongwe na mwakilishi maalum wa Marekani katika masuala ya tabianchi aliwasili China Jumapili.
-
Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh
Jun 09, 2023 01:24Balozi mpya wa Iran nchini Saudi Arabia amesema Israel imekerwa na kuhamakishwa na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Riyadh, na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeazimia kuuvuruga uhusiano huo.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na nchi rafiki
Jun 04, 2023 11:43Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuimarisha uhusiano wake na nchi ambazo zimetangaza utayarifu wao wa kuhuisha uhusiano na Tehran.
-
Kikao cha pande nne cha Moscow kuhusu Syria pamoja na matokeo yake
May 11, 2023 11:24Kikao cha kwanza cha pande nne cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Syria, Uturuki na Iran kuhusiana na Syria kilifanyika Jumatano ya jana huko Moscow mji mkuu wa Rusia.
-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 11:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.
-
Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 03, 2023 03:23Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.
-
Mauritania yakanusha kiuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Mar 15, 2023 11:06Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa inafanya nao mashauriano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela kuhusu uhusiano wa jadi na Iran
Mar 05, 2023 08:42Ivan Khel Pinto, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Al Mayadeen kwamba, uhusiano mzuri wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu, ni wa jadi na ni mkubwa.