Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Saudi Arabia, mnunuzi mkuu wa silaha Asia Magharibi

    Saudi Arabia, mnunuzi mkuu wa silaha Asia Magharibi

    Oct 08, 2020 03:25

    Ripoti mpya iliyotolewa na serikali ya Uingereza inaonesha kuwa, nchi hiyo ilikuwa ya pili kwa kuuza silaha nyingi duniani mwaka uliopita huku mnunuzi mkuu wa silaha za Uingereza katika eneo la Asia Magharibi ukiwa ni utawala wa kiimla wa Saudi Arabia.

  • 'Kanisa la Uingereza limefeli kukabili visa vya kudhalilishwa kingono watoto'

    'Kanisa la Uingereza limefeli kukabili visa vya kudhalilishwa kingono watoto'

    Oct 07, 2020 04:28

    Ripoti ya Tume ya Uchunguzi imefichua kuwa, Kanisa la Uingereza lilifeli kuwalinda watoto wadogo dhidi ya vitendo vya ubakaji na udhalilishaji wa kingono kwa miongo kadhaa.

  • Sri Lanka yarejesha Uingereza kontena zenye takataka hatarishi, vimo viungo vya binadamu

    Sri Lanka yarejesha Uingereza kontena zenye takataka hatarishi, vimo viungo vya binadamu

    Sep 27, 2020 23:14

    Sri Lanka imezirejesha nchini Uingereza kontena zilizokuwa zimebeba takataka hatari huku serikali ya Colombo ikisema kuwa ziliingizwa nchini humo kwa kukiuka sheria za kimataifa zinazosimamia usafirishaji wa mada hatarishi.

  • Iran: Uingereza ichukue hatua za kivitendo kutulipa mamia ya mamilioni ya fedha zetu

    Iran: Uingereza ichukue hatua za kivitendo kutulipa mamia ya mamilioni ya fedha zetu

    Sep 11, 2020 00:14

    Wizara ya Ulinzi ya Iran imeashiria jinsi Uingereza ilivyokiri kuwa ina deni la miaka 40 la Iran na kuitaka London ichukue hatua za kivitendo za kuilipa Tehran fedha zake hizo ambazo ni mamia ya mamilioni.

  • Mgogoro wa corona wawakosesha ajira maelfu ya watu nchini Uingereza

    Mgogoro wa corona wawakosesha ajira maelfu ya watu nchini Uingereza

    Jun 17, 2020 01:57

    Taathira mbaya za kirusi cha corona katika sekta mbalimbali nchini Uingereza zimesababisha ukosefu mkubwa usiotarajiwa wa kazi nchini humo.

  • Mwafrika aokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi nchini Uingereza + Video

    Mwafrika aokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi nchini Uingereza + Video

    Jun 15, 2020 03:11

    Kitendo cha uungwa na kiwango cha juu cha ubinadamu kilichooneshwa na raia mmoja wa Uingereza mwenye asili ya Afrika cha kuokoa maisha ya mzungu mwenye chuki kali za kibaguzi wakati wa ugomvi huko mjini London Uingereza, kimevigusa sana vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

  • Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran

    Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran

    Apr 15, 2020 03:39

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa Kimataifa na Ulinzi ya Bunge la Juu la Uingereza (House of Lords) amesema anaunga mkono miito inayotolewa na maafisa wa nchi za Ulaya na Marekani za kutaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iondolewa vikwazo, katika kipindi hiki ambapo Iran inaendelea kukabiliana na maambukizi makubwa ya virusi vya Corona.

  • Waziri Mkuu wa Uingereza akumbwa na corona, mtu mmoja anafariki dunia kila dakika 13 nchini humo

    Waziri Mkuu wa Uingereza akumbwa na corona, mtu mmoja anafariki dunia kila dakika 13 nchini humo

    Mar 27, 2020 09:08

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amekumbwa na ugonjwa hatari wa COVID-19 unaoenea kwa kasi kubwa kote ulimwenguni.

  • Waislamu Uingereza wawasaidia wenye mahitaji wakati huu wa mripuko wa Corona

    Waislamu Uingereza wawasaidia wenye mahitaji wakati huu wa mripuko wa Corona

    Mar 19, 2020 03:58

    Waislamu nchini Uingereza, mijini na vijijini wanafanya jitihada za kukusanya bidhaa muhimu za msingi kwa ajili ya kuwasaidia watu wenye mahitaji na wasiojiweza nchini humo, katika kipindi hiki cha mripuko wa Corona.

  • Zarif aitaka EU ipuuze vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya Iran

    Zarif aitaka EU ipuuze vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya Iran

    Mar 17, 2020 04:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaka Umoja wa Ulaya uache kuifuata kibubusa Marekani katika kuliwekea taifa hili vikwazo vya upande mmoja, haramu na visivyo vya kisheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS