-
Uchunguzi: Akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono ujenzi wa misikiti nchini humo
Mar 04, 2019 23:14Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonyesha kwamba akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono kujengwa misikiti nchini humo.
-
Ruwaza Njema (11)
Feb 06, 2019 10:47Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia sifa njema ya Mtume Mtukufu (saw) ambaye ni mbora wa viumbe, ya kusamehe watu na kuwaongoza kwenye heri kuu, hata tunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa mabaya waliyotufanyia.
-
Ruwaza Njema (10)
Feb 06, 2019 10:39Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni kusikiliza kipindi kingine katika mfululizo wa vipindi vya Ruwaza Njema, ambapo huwa tunanufaika na baadhi ya Hadithi katika kufahamu na kufuata mfano mwema wa Mtume Mtukufu (saw) kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na maisha yetu ya kimaanawi na kimaada.
-
Kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka alipofariki dunia Mtume (saw) + Kasida
Nov 04, 2018 23:13Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) aliaga dunia tarehe 28 Swafar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.
-
Kutwaliwa kwa Andalusia na ustaarabu wa Kiislamu barani Ulaya
Sep 15, 2018 05:49Tarehe 5 Julai miaka 1347 iliyopita ardhi ya Andalusia huko Uhispania ya leo ilidhibitiwa na jeshi la Kiislamu lililoongozwa na Tariq bin Ziyad.
-
Sadio Mane ajibu, kwa nini anaosha choo cha msikiti, Liverpool
Sep 10, 2018 10:13Mchezaji nyota wa soka wa timu ya Liverpool ya Uingereza kutoka Senegal, Sadio Mane ameeleza ni kwa nini huwa anaosha choo cha Msikiti wa Rahma mjini Liverpool.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-3
Sep 09, 2018 09:48Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Mwanasiasa wa Uholanzi mwenye chuki na Uislamu aghairisha mpango wa kutaka kumvunjia heshima Mtume SAW
Aug 31, 2018 23:39Mwanasiasa wa Uholanzi mwenye chuki na Uislamu aliyekuwa na dhamira ya kufanya mashindano ya katuni za kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW amelazimika kughairisha mashindano hayo baada ya kukabiliwa na upinzani mkali wa Waislamu.
-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 03:52Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo
May 29, 2018 03:47Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.