Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukanda wa Ghaza

  • Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa

    Mlipuko waua Wapalestina 6 Ukanda wa Gaza, Israel yalaumiwa

    May 06, 2018 02:55

    Wapalestina wasiopungua sita wanachama wa harakakati ya muqawama ya Palestina Hamas wameuawa katika mripuko wa bomu ulioukumba Ukanda wa Gaza jana Jumamosi.

  • UN: Asilimia 72 ya wakazi wa Ghaza hawana usalama wa chakula

    UN: Asilimia 72 ya wakazi wa Ghaza hawana usalama wa chakula

    Mar 18, 2018 04:49

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa huko Palestina (OCHA) imetangaza kuwa asilimia 72 ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza hawana usalama wa chakula.

  • Wapalestina wasusia mkutano wa White House, Israel na Waarabu kuhusu Gaza

    Wapalestina wasusia mkutano wa White House, Israel na Waarabu kuhusu Gaza

    Mar 14, 2018 10:47

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa kushiriki mkutano uliofanyika katika Ikulu ya Marekani ya White House, na kuwaleta pamoja viongozi wa nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Msafara wa kuushinikiza utawala wa Israel uondoe mzingiro dhidi ya Wapalestina Ghaza

    Msafara wa kuushinikiza utawala wa Israel uondoe mzingiro dhidi ya Wapalestina Ghaza

    Mar 10, 2018 23:57

    Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Kuvunja Mzingiro wa Ukanda wa Ghaza amesema taasisi za kuunga mkono Palestina zitatuma misafara ya kuvunja mzingiro wa Ghaza pasina kujali vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Watoto wachanga wafariki Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa Israel

    Watoto wachanga wafariki Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama wa Israel

    Feb 20, 2018 12:14

    Kituo cha kutetea haki za binadamu Palestina kimetoa taarifa na kusema watoto sita wachanga wameaga dunia katika hospitali za Ukanda wa Ghaza kutokana na mzingiro wa kinyama uliowekwa na utawala wa Kizayuni wa Israel na hivyo kupelekea hospitali kukosa dawa za dharura.

  • Jumatano tarehe 17 Januari, 2018

    Jumatano tarehe 17 Januari, 2018

    Jan 16, 2018 23:09

    Leo ni Jumatano tarehe 29 Rabiuthani 1439 Hijria, inayosadifiana na Januari 17, 2018

  • Ijumaa, Novemba 3, 2017

    Ijumaa, Novemba 3, 2017

    Nov 03, 2017 00:38

    Leo ni Ijumaa tarehe 14 Mfunguo Tano Safar 1439 Hijria sawa na Novemba 3, 2017 Milaadia.

  • Jeshi la Israel lashambulia ngome za Hamas Ukanda wa Gaza

    Jeshi la Israel lashambulia ngome za Hamas Ukanda wa Gaza

    Oct 09, 2017 04:30

    Vikosi vya Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimeshambulia kile vinachodai kuwa ni ngome za Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, katika Ukanda wa Gaza.

  • UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    Aug 30, 2017 10:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mzingiro wa kibaguzi wa karibu muongo mmoja dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Jumanne 15 Agosti, 2017

    Jumanne 15 Agosti, 2017

    Aug 14, 2017 21:59

    Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1438 Hijria sawa na Agosti 15, 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS