-
Jumatano tarehe 28 Juni, 2017
Jun 27, 2017 21:57Leo ni Jumatano tarehe 28 Juni 2017.
-
Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina
Apr 28, 2017 03:22Wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wamesusia kula chakula ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Israel yafanya hujuma mpya za anga Ukanda wa Gaza
Feb 28, 2017 04:22Jeshi la utawala katili wa Israel limefanya mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi watu kadhaa.
-
Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7
Feb 09, 2017 03:43Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah, Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Umaskini waongezeka sana Ukanda wa Ghaza
Jan 08, 2017 10:13Kituo cha Haki za Binadamu cha Palestina kimetangaza habari ya kuongezeka umaskini kwa asilimia 65 katika eneo la Ukanda wa Ghaza kutokana na kuendelea kuzingirwa kiuchumi kikamilifu eneo hilo na utawala wa Kizayuni.
-
Hatua ya Israel ya kuuzuia ujumbe wa ICC kuingia Ukanda wa Gaza
Oct 10, 2016 04:06Ujumbe kutoka ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) siku ya Jumamosi uliwasili katika ardhi za Palestina zilizovamiwa na kuanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 (Israel). Ujumbe huo umepangiwa kutembelea pia eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, lakini hautofika Ukanda wa Gaza baada ya Israel kuuzuia kufanya hivyo.
-
Israel yawateka nyara wanaharakati wanawake wakielekea Gaza
Oct 06, 2016 12:16Jeshi la majini la utawala wa Kizayuni wa Israel limewateka nyara wanaharakati wanawake wa Marekani akiwemo Ann Wright, mwanadiplomasia mashuhuri na mtetezi wa haki za binadamu, wakiwa kwenye boti wakielekea katika Ukanda wa Gaza.
-
Misri yafungua tena kivuko cha Rafah kwa muda
Jun 29, 2016 09:12Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi hadi Julai 4.
-
Ban: Israel inawaumiza Wapalestina kwa mzingiro wake Ghaza
Jun 28, 2016 23:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amelaani mzingiro wa Israel huko Ukanda wa Ghaza na kusema unawaumiza Wapalestina na kuharibu uchumi wao.
-
Mzingiro wa Israel wawafanya watoto Gaza waache masomo na kulazimika kufanya kazi
Jun 12, 2016 03:13Idadi kubwa ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza wamelazimika kuacha masomo na kufanya kazi ili kuzisaidia familia zao kimaisha kutokana na dhiki iliyosababishwa na mzingiro na mashambulio ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo.