• Muqawama: US ni mshiriki wa mauaji mapya ya halaiki Gaza

    Muqawama: US ni mshiriki wa mauaji mapya ya halaiki Gaza

    Aug 10, 2024 11:13

    Makundi ya mrengo wa Muqawama katika eneo la Asia Magharibi yamelaani vikali jinai mpya ya kuogofya ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, ambapo zaidi ya Wapalestina 100 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa.

  • Abbas: Mauaji ya Haniyah yanalenga kurefusha vita vya Gaza

    Abbas: Mauaji ya Haniyah yanalenga kurefusha vita vya Gaza

    Aug 07, 2024 02:27

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amesema Israel ilimuua kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Ksiasa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniyah ili kuendeleza na kurefusha vita vyake dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • WHO yabainisha wasiwasi mkubwa juu ya uwezekano wa kutokea mlipuko mkubwa wa polio huko Gaza

    WHO yabainisha wasiwasi mkubwa juu ya uwezekano wa kutokea mlipuko mkubwa wa polio huko Gaza

    Jul 24, 2024 12:58

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa lina wasiwasi mkubwa kuhusu uwezekano wa kutokea mlipuko mkubwa wa polio huko Ukanda wa Gaza kufuatia kugunduliwa hivi karibuni virusi vya polio kwenye maji taka.

  • UN: Utapiamlo unatishia maisha ya wajawazito na vichanga Gaza

    UN: Utapiamlo unatishia maisha ya wajawazito na vichanga Gaza

    Jul 22, 2024 10:58

    Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa (UNPF) umetahadharisha kuhusu taathira hasi za utapiamlo zinazowakodolea macho wanawake wajawazito na watoto wachanga katika Ukanda wa Gaza; huku vita vya kikatili na vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo vikishadidi.

  • Iran yalitaka Baraza la Usalama liilazimishe Israel ikomeshe mauaji ya kimbari Gaza

    Iran yalitaka Baraza la Usalama liilazimishe Israel ikomeshe mauaji ya kimbari Gaza

    Jul 18, 2024 03:02

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kivitendo za kuulazimisha utawala wa Kizayuni ukomeshe 'mara moja na bila masharti yoyote' mauaji ya kimbari unaoyafanya dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Bagheri Kani na Rais wa Baraza Kuu la UN wajadili mauaji ya Gaza

    Bagheri Kani na Rais wa Baraza Kuu la UN wajadili mauaji ya Gaza

    Jul 16, 2024 07:44

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuna udharura wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kukomesha jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Lancet: Wapalestina waliouawa Gaza wanapindukia 186,000

    Lancet: Wapalestina waliouawa Gaza wanapindukia 186,000

    Jul 09, 2024 07:05

    Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet la Uingereza limeripoti kuwa, yumkini idadi halisi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza inazidi watu 186,000.

  • Matokeo ya miezi 9 ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Matokeo ya miezi 9 ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza

    Jul 05, 2024 02:08

    Vita vya mauaji ya kizazi vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vimemaliza mwezi wake wa tisa na kuiingia katika mwezi wa kumi kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa wa kutofanya lolote la maana kwa ajili ya kusimamisha mauaji hayo.

  • Ijumaa, 28 Juni, 2024

    Ijumaa, 28 Juni, 2024

    Jun 28, 2024 03:14

    Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria sawa na Juni 28 mwaka 2024.

  • Waziri Mkuu: Norway kupokea wagonjwa kutoka Gaza

    Waziri Mkuu: Norway kupokea wagonjwa kutoka Gaza

    Jun 27, 2024 12:40

    Jonas Gahr Store Waziri Mkuu wa Norway amethibitisha leo kuwa nchi hiyo itawapokea na kuwatibu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza. Amesema Norway itashiriki katika juhudi za kimataifa za kuwasaidia Wapalestina ambao matibabu haraka iwezekanavyo.