Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukimwi

  • UN: Ukimwi uliua watu milioni 1 mwaka 2016

    UN: Ukimwi uliua watu milioni 1 mwaka 2016

    Jul 20, 2017 14:04

    Ugonjwa hatari wa ukimwi uliua watu milioni 1 mwaka uliopita wa 2016, ikiwa ni karibu nusu ya idadi ya watu walipoteza maisha kutokana na ugonjwa huo mwaka 2005 wakati wa kilele chake.

  • Katibu Mkuu wa UN ataka watu wenye Ukimwi wasaidiwe

    Katibu Mkuu wa UN ataka watu wenye Ukimwi wasaidiwe

    Dec 01, 2016 15:01

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusaidiwa waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi.

  • WHO: Nusu ya wanaoishi na HIV kote duniani hawajapimwa

    WHO: Nusu ya wanaoishi na HIV kote duniani hawajapimwa

    Dec 01, 2016 04:09

    Shirika la Afya Duniani WHO limesema karibu nusu ya watu wanaoishi na virusi vya HIV kote duniani hawana habari wala ufahamu kuwa wameambukizwa virusi hivyo hatari vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi.

  • Alkhamisi tarehe Mosi Disemba, 2016

    Alkhamisi tarehe Mosi Disemba, 2016

    Dec 01, 2016 04:11

    Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe Mosi Disemba 2016.

  • Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa

    Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa

    Nov 23, 2016 08:08

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa vikali hukumu ya kufungwa miaka miwili jela, iliyotolewa na mahakama moja nchini humo, dhidi ya mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.

  • Wake wa wakuu wa nchi za Afrika waahidi kumaliza HIV na Ukimwi ifikapo 2030

    Wake wa wakuu wa nchi za Afrika waahidi kumaliza HIV na Ukimwi ifikapo 2030

    Jul 19, 2016 04:22

    Jumuiya ya Wake wa Wakuu wa Nchi za Afrika ya kupambana na virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi kwa kifupi (OAFLA) kwa mara nyingine tena imeahidi kuimarisha ushirikiano baina ya wanachama wa jumuiya hiyo kwa ajili ya kupambana na virusi vya HIV na Ukimwi na kusema kuwa, ajenda yao kuu ni kuhakikisha virusi hivyo vinaangamizwa kikamilifu ifikapo mwaka 2030.

  • UNICEF: HIV/UKIMWI, sababu kuu ya vifo vya vijana Afrika

    UNICEF: HIV/UKIMWI, sababu kuu ya vifo vya vijana Afrika

    Jul 18, 2016 07:48

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema virusi vya HIV na ugonjwa hatari wa UKIMWI vingali sababu kuu ya vifo vya vijana barani Afrika.

  • UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la HIV

    UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la HIV

    Jul 13, 2016 15:20

    Idara ya Kupambana na Virusi vya HIV ya Umoja wa Mataifa (UNAIDS) imetahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi hivyo kote duniani baada ya kuripotiwa habari za kuongezeka kesi za mambuzi ya virusi hivyo hatari.

  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laazimia kuangamiza Ukimwi Duniani

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laazimia kuangamiza Ukimwi Duniani

    Jun 11, 2016 15:29

    Mkutano wa ngazi ya juu wa siku tatu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna ya kukomesha maambukizi ya Ukimwi umefungwa mjini New York.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS