-
Ukraine yakanusha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki
Feb 26, 2024 08:17Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Jeshi la Ukraine amekadhibisha uvumi kwamba Iran imeiuzia Russia makombora ya balestiki kwa ajili ya kutumika katika vita vya Ukraine.
-
Wananchi wa Ulaya wakata tamaa, hawatarajii kupata ushindi Ukraine
Feb 22, 2024 08:02Matokeo ya uchunguzi wa karibuni kabisa wa maoni yanaonesha kuwa, ni asilimia 10 tu ya wananchi wa nchi za Ulaya wanaoamini kwamba Ukraine inaweza kushinda kwenye vita vyake na Russia.
-
Medvedev atishia kushambulia Washington, London na Berlin ikiwa Russia italazimishwa kuondoka Ukraine
Feb 19, 2024 08:12Rais wa zamani wa Russia Dmitry Medvedev ametishia Washington, Berlin, London na Kiev kushambuliwa kwa silaha za nyuklia ikiwa Russia italazimishwa kujiondoa Ukraine.
-
Putin: Russia iko tayari kumaliza mzozo na Ukraine
Feb 18, 2024 22:55Rais wa Russia amesema kuwa Moscow iko tayari kumaliza vita na Kiev kwa amani, lakini hakuna dalili kwamba Ukraine inataka amani.
-
Mahakama ya ICJ yatupilia mbali madai ya Ukraine dhidi ya Russia
Feb 01, 2024 07:29Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imepinga takriban tuhuma zote zilizowasilishwa na Ukraine katika kesi ya kufadhili ugaidi dhidi ya Russia.
-
Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi
Jan 31, 2024 07:21Rais wa Ukraine amekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu mkabala wa Russia na kusema: Ulaya peke yake haiwezi kuisaidia Ukraine dhidi ya Russia bila uungaji mkono wa Marekani.
-
Vita vya Ukraine vyaubebesha Umoja wa Ulaya zigo zito la madeni
Jan 24, 2024 03:26Umoja wa Ulaya umelazimika kubeba zigo zito la madeni kutokana na kuifuata kibubusa Marekani katika kuiunga mkono Ukraine kwenye vita na Russia.
-
Russia: Marekani inatumia vita vya Ukraine kama mradi wenye faida
Jan 24, 2024 00:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekani inaona vita kati ya Russia na Ukraine kama "mradi wa faida" na kusema: Moscow iko tayari kwa mazungumzo na Ukraine kwa ajili ya kumaliza mzozo huo.
-
Mkuu wa Intelijensia ya Russia: Marekani inaanzisha 'Serikali ya Kikoloni' ndani ya Ukraine
Jan 23, 2024 02:10Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Russia amesema, Marekani imeanza kuunda "serikali ya kikoloni" nchini Ukraine inayojumuisha wanasiasa wa ndani ambao wamekula kiapo cha utiifu kwa Washington.
-
CNN: Marekani inatazamia kutuma Ukraine msaada mkubwa zaidi kabla ya 2025
Jan 20, 2024 23:09Televisheni ya CNN yenye makao yake nchini Marekani imeripoti kuwa Washington inatazamia kutuma msaada mubwa zaidi huko Ukraine kabla ya Januari mwaka 2025 na kukfanyika uchaguzi wa rais nchini humo.