-
Ayatullah Araki: Njia pekee ya kuyapatia ufumbuzi matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu ni kuwa na umoja na mshikamano
Nov 30, 2019 08:25Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu ameashiria juu ya kuweko njama za maadui za kuzusha hitilafu na mifarakano baina ya Waislamu na kusema kuwa, pekee ya kuyapatia ufumbuzi matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu ni kuweko ushirikiano, umoja na mshikamano baina ya wananchi na mataifa ya Kiislamu.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu
Nov 11, 2019 07:03Katika ulimwengu wa leo chuki dhidi ya Uislamu, au kwa jila la kiingereza Islamophobia, ni jambo linalopewa uzito na kuenezwa kwa namna maalumu katika vyombo vya habari vya nchi za Magharibi.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 11, 2019 04:28Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.
-
Banki za Iran ni kati ya banki 10 bora za Kiislamu duniani
Sep 07, 2019 23:00Jarida moja maarufu la kimataifa limeorodhesha banki tatu za Iran kuwa kati ya banki 10 bora za Kiislamu duniani.
-
Jumatano, Mei 8, 2019
May 07, 2019 20:52Leo ni Jumatano tarehe Pili Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Mei 2019 Milaadia
-
"Iran ni mpiganiaji mkubwa wa umoja wa nchi za Kiislamu"
Apr 28, 2019 11:37Mtaalamu mmoja wa ulimwengu wa Kiislamu kutoka Nigeria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima iko mstari wa mbele katika kupigania umoja na mshikamano baina ya nchi za Kiislamu.
-
Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu laanza Tehran
Apr 28, 2019 02:40Kongamano la Mustakabali wa Ulimwengu wa Kiislamu katika Dira ya Mwaka 2035 limeng'oa nanga hii leo hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran, kwa kuwaleta pamoja wanazuoni na wajumbe kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Brunei yaanza kutumia sheria za Kiislamu kuwaadhibu wazinzi na mashoga
Apr 03, 2019 22:08Jamhuri ya Brunei jana Jumatano ilianza kutekeleza awamu ya pili ya sheria za Kiislamu katika adhabu ya makosa ya jinai nchini humo.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 28
Jan 28, 2019 03:56Hujambo mpenzi msikilizaji wa na haswa mpenzi na mfuatiliaji wa spoti, na karibu tuangazie baadhi ya matukio ya michezo ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa...
-
Maneno na Sira ya Mtume Mtukufu SAW; mwongozo wa umoja wa ulimwengu wa Kiislamu
Dec 05, 2018 06:36Katika kipindi cha miaka 10 aliyoishi katika mji mtakatifu wa Madina, Mtume Mtukufu SAW alikuwa mfano unaong'ara na usio na mfano wake wa kuimarisha umoja na udugu wa Kiislamu katika jamii ya Kiislamu.