-
Meja Jenerali Baqeri: Natumai amani na utulivu utatawala katika ulimwengu wa Kiislamu
Jun 14, 2018 08:04Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ana wingi wa matumaini kwamba karibuni hivi amani na utulivu utashuhudiwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Waislamu duniani watakiwa kuungana kukabiliana na adui Mzayuni
Feb 01, 2018 07:55Sayyid Ali Fadhlullah, Imam wa Sala ya Ijumaa ya Beirut Lebanon na Sheikh Maher Hamoud, Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama wamesisitizia wajibu wa kuungana ulimwengu wa Kiislamu na wa Kiarabu katika kukabiliana na uadui wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rouhani: Mataifa ya Kiislamu yatazima njama ya Marekani na Israel
Dec 12, 2017 03:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja, muqawama na mapambano ya Wapalestina na nchi nyingine za Kiislamu bila shaka yatapelekea kusambaratika kwa njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni ya kuitambua Quds tukufu kuwa 'mji mkuu' wa utawala haramu wa Israel.
-
Imamu wa Swala ya Idi Tehran: Hija inapaswa kuzingatia matatizo ya Waislamu
Sep 01, 2017 08:20Hatibu wa Swala ya Idul Adh'ha iliyoswaliwa mapema leo mjini Tehran amesema kuwa, falsafa ya amali za ibada halisi ya Hija ni kutilia maanani masuala na matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu na mashaka yanayowakumba Waislamu kote duniani.
-
Ayatullah Araki: Wamagharibi walianzisha kundi la Daesh ili kukabiliana na Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 22, 2017 02:40Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, ulimwengu wa Magharibi hasa Marekani umekuwa ukitumia mbinu na nyenzo mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Jenerali Qassem Soleimani: Iran ni chemchemu ya uthabiti katika eneo
Aug 21, 2017 02:31Kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran haijawahi katu kuzusha mgogoro na kulea utakfiri; na leo hii imekuwa chemchemu ya uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Sheikh Abdul Amir Qabalan: Viongozi wa nchi za Kiislamu waweke kando hitilafu zao
Jul 28, 2017 07:31Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ametoa wito wa kuitishwa kikao cha haraka cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa ajili ya kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Al Zahar: Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu
Apr 30, 2017 16:14Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu na kwamba njama za utawala huo pandikizi zinalenga kuuangamiza ulimwengu mzima wa Kiislamu.
-
Sheria mpya ya Trump dhidi ya Waislamu yalaaniwa kote duniani
Mar 07, 2017 07:14Sheria mpya ya kibaguzi ya Donald Trump, Rais wa Marekani, inakabiliwa na wimbi la lalama na ukosoaji kutoka kila upande, ndani na nje ya nchi.
-
Nabih Berri: Nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani
Feb 21, 2017 13:58Spika wa Bunge la Lebanon ameziasa nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani kulalamikia mpango wa Washington wa kutaka kuhamishia ubaloizi wake ulioko Israel huko Quds Tukufu.