-
Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Feb 15, 2017 15:58Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
-
Zarif asisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano wa Kiislamu
Jan 12, 2017 03:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu
-
Washiriki kikao cha Mwamko wa Kiislamu wasisitiza kuimarishwa Umoja na kupambana na uchupaji mipaka
Dec 16, 2016 15:52Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu ameeleza kuwa washiriki wa kikao cha kumi cha Baraza Kuu la jumuiya hiyo wamesisitizia wajibu wa kuimarishwa umoja na kupambana na misimamo ya kuchupa mipaka katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Al-Houthi: Saudia ni mbeba bendera ya unafiki katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 13, 2016 02:45Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema "utawala wa kishetani wa Saudia" ni "mbeba bendera ya unafiki" katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Qazi Askari: Ulimwengu wa Kiislamu uonyeshe radiamali kuhusiana na maafa ya Mina
Sep 10, 2016 13:47Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija na Ziara amesema kuwa, Iran ndiyo nchi pekee iliyosimama kidete kuhusiana na maafa ya Mina na kwamba, Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuonyesha radiamali kuhusiana na tukio hilo chungu.
-
Sasa ni ruhsa kwa polisi wa Uturuki kuvaa Hijabu
Aug 28, 2016 04:04Kwa mara ya kwanza, serikali ya Uturuki imetoa ruhusa kwa polisi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu wakiwa kazini. Ruhusa hiyo imetolewa kupitia hukumu iliyotangazwa jana Jumamosi katika gazeti rasmi la serikali.
-
Velayati: Iran, Uturuki zina nafasi chanya katika ulimwengu wa Kiislamu
Aug 01, 2016 04:04Mshauri wa Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zina nafasi muhimu katika kuboresha mustakabali wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Marekani, chanzo cha fitina katika Ulimwengu wa Kiislamu
Jul 29, 2016 16:33Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa chanzo cha fitina zote na migogoro ya hivi karibuni katika Ulimwengu wa Kiislamu ni hatua za wazi na za siri za Marekani na waitifaki wake.
-
Siku ya Quds, Siku ya kuikomboa Baitul Muqaddas
Jun 29, 2016 07:48Idadi kadhaa ya wanazuoni na wanasiasa wa Ulimwengu wa Kiislamu wameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa ni Siku ya kuikomboa Baitul Muqaddas na kuwaunga mkono waliodhulumiwa.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kupambana na misimamo mikali
Jun 07, 2016 07:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka viongozi wa nchi za Kiislamu kushirikiana na kufanya kazi bega kwa bega kwa lengo la kukabiliana na misimamo ya kufurutu ada.