-
Utunishaji misuli; Choopan wa Iran atwaa tuzo ya kifahari
Mar 03, 2024 07:44Mtunishaji misuli veterani wa Iran, Hadi Choopan ametwaa taji la kimataifa la 'Bwana Olympia' katika tuzo za Arnold Classic 2024.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 27
Feb 27, 2024 06:17Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita kutoka sehemu mbali duniani.....
-
Dani Alves ahukumiwa kifungo cha miaka minne na nusu jela kwa ubakaji
Feb 23, 2024 08:06Mbrazil Dani Alves, nyota wa zamani wa Barcelona na PSG, amehukumiwa na mahakama ya Barcelona kifungo cha miaka minne na nusu jela kwa kosa la kumbaka msichana katika klabu ya usiku jijini humo Desemba 2022.
-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 19
Feb 19, 2024 03:35Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri katika kona mbalimbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita…
-
Ulimwengu wa Spoti, Februari 5
Feb 05, 2024 03:57Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 29
Jan 29, 2024 02:57Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani katika pembe mbali mbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 22
Jan 22, 2024 05:20Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Januari 15
Jan 15, 2024 04:55Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa....
-
City yatwaa ubingwa Kombe la Dunia kwa Klabu+VIDEO
Dec 23, 2023 04:24Manchester City ya Uingereza imeibuka kidedea na kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa Klabu kwa mara ya kwanza, na hivyo kuidhihirishia dunia kwa mara nyingine tena kuwa ndiyo klabu bora zaidi duniani.
-
Soka Afrika: Uganda kidedea Cecafa U18
Dec 09, 2023 07:44Timu ya taifa ya soka ya vijana ya Uganda imebuka kidedea baada ya kuichabanga Kenya mabao 2-1 katika fainali ya Mashindano ya Kandanda ya Kanda ya Afrika Mashariki na Kati Cecafa kwa vijana wenye chini ya miaka 18.