-
Kombe la Dunia U17; Ujerumani bingwa
Dec 03, 2023 07:29Kwa mara ya kwanza, Ujerumani imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa vijana wa kiume wenye chini ya umri wa miaka 17.
-
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mabingwa wa Ligi ya Soka ya Afrika
Nov 13, 2023 02:47Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imetwaa ubingwa wa Kombe la Ligi ya Kandanda ya Afrika baada ya kuicharaza Wydad Casablanca jumla wa mabao 3-2 kwenye fainali ya mkondo wa pili iliyopigwa Jumapili hii ya Novemba 12.
-
Persepolis yapoteza mechi yake ya kwanza Ligi ya Klabu Bingwa Asia
Sep 20, 2023 10:38Mechi za raundi ya 1 ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Asia zilifanyika jana Jumanne.
-
Iran yaitandika Angola 4-0 katika Fifa Day
Sep 13, 2023 00:46Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitandika timu ya soka ya taifa ya Angola mabao 4 kwa sifuri katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika dimba la Azadi mjini Tehran.
-
Mabinti wa Iran watwaa ubingwa wa Asia wa mchezo wa Taekwondo
Sep 05, 2023 03:30Duru ya 12 ya Mashindano ya Vijana ya Taekwondo nchini Lebanon ilimalizika Jumatatu kwa timu ya mabinti ya Iran kutwaa taji la ubingwa wa Asia.
-
Arsenal yaigaragaza Manchester United 3-1
Sep 04, 2023 01:15Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana iliendeleza matokeo mazuri ya msimu huu wa Ligi Kuu ya EPL baada ya kuwatandika watani wao wa jadi Manchester United mabao 3 kwa moja la kufutia machozi.
-
Mwanasoka wa kwanza aliyevalia Hijabu ashiriki katika Kombe la Dunia la Wanawake
Jul 25, 2023 05:24Nouhaila Benzina amekua mwanasoka wa kwanza wa kike aliyevalia Hijabu kushiriki katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake alipocheza mechi ya kwanza ya timu ya Morocco dhidi ya Ujerumani.
-
Ufaransa yapiga marufuku hijabu katika mashindano ya soka
Jun 30, 2023 04:09Mahakama Kuu ya Utawala nchini Ufaransa imetoa kibali kwa Shirikisho la Soka la nchi hiyo cha kupiga marufuku vazi la hijabu katika mashindano ya soka ya wanawake.
-
Al-Ahly ya Misri wafalme wa soka barani Afrika 2023
Jun 12, 2023 04:50Klabu ya Al-Ahly ya Misri imetwaa ubingwa wa Ligi ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Mafarao hao wa Misri wametwaa kombe hilo la kibara, licha ya mchuano wa fainali kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 25, 2023 22:18Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.