-
Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)
Oct 11, 2022 06:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema moja ya malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuunda ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu na kuwa lengo hilo haliwezi kufikiwa ila kwa kuwepo umoja wa Shia na Sunni.
-
Makundi ya Palestina yasisitiza kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi
Mar 19, 2021 02:44Makundi ya Palestina yametoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Cairo mji mkuu wa Misri yakikisisitizia kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi.
-
Palestina katika njia ya umoja na mshikamano wa ndani
Oct 13, 2020 02:39Baada ya baadhi ya nchi za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kulitelekeza waziwazi taifa la Palestina, sasa hivi makundi ya Palestina yameelewa kuwa njia pekee ya kulinda uwepo wa taifa lao ni umoja na mshikamano.
-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 30, 2020 04:18Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina wataka umoja wa kitaifa ili kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne'
Jul 07, 2019 11:40Viongozi wa harakati za mapambano ya Palestina wamesisitiza juu ya udharura wa kuweko umoja wa kitaifa huko Palestina ili kukabiliana na mpango uliojaa njama wa Muamala wa Karne.
-
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lakutana Morocco
Jun 25, 2019 13:00Mkutano wa 12 wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika unaendelea mjini Skhirat nchini Morocco.
-
Ayatullah Khatami: Siri ya taifa la Iran kuishinda Marekani ni umoja na mshikamano
May 03, 2019 11:27Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, muono wa mbali, kuwa na mahudhurio katika medani, kusimama kidete, umoja na mshimano ndio siri ya ushindi wa taifa la Iran mbele ya Marekani na washirika wake.
-
Umoja wa Kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu; masharti ya lazima ya ushindi wa Wapalestina
Mar 31, 2019 02:31Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa kwa munasaba wa Siku ya Ardhi Palestina na kusisitiza kuhusu udharura wa kuwepo umoja wa kitaifa, wa Kiislamu na wa Kibinadamu kama masharti yasiyoepukika kwa ajili ya kupatikana ushindi mbele ya njama hatari za maadui.
-
Maneno na Sira ya Mtume Mtukufu SAW; mwongozo wa umoja wa ulimwengu wa Kiislamu
Dec 05, 2018 10:06Katika kipindi cha miaka 10 aliyoishi katika mji mtakatifu wa Madina, Mtume Mtukufu SAW alikuwa mfano unaong'ara na usio na mfano wake wa kuimarisha umoja na udugu wa Kiislamu katika jamii ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Umoja, mshikamano na kauli moja; njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake
Nov 26, 2018 18:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, njia pekee ya Ulimwengu wa Kiislamu kuzishinda njama dhidi yake ni kudumisha umoja, mshikamano na kuwa na kauli moja.