-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (15)
Mar 06, 2018 03:01Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipita hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 15.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (14)
Mar 06, 2018 02:52Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipita hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 14.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (13)
Mar 06, 2018 02:44Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipita hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 13.
-
Mufti wa Syria asisitiza kuhusu umoja wa nchi za Kiislamu
Feb 17, 2018 23:43Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badruddin Hassoun amesisitiza kuhusu ulazima wa kuungana mataifa na nchi za Kiislamu duniani.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 10:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 10:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)
Feb 09, 2018 09:25Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.
-
Ayatullah Araki: Umoja ni ufumbuzi wa matatizo ya jamii ya Kiislamu
Dec 22, 2017 23:12Katibu Mkuu wa Jumuuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, njia na utatuzi wa matatizo ya jamii ya Kiislamu na kupoza maumivu ya majeraha yaliyopo ni kuweko umoja na mshikamano baina ya Waislamu.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump
Dec 11, 2017 11:02Wananchi wa Mauritania wameungana na Waislamu na wapenda haki katika kona zote za dunia kuendeleza maandamano ya kumlaani rais wa Marekani, Donald Trump kwa hatua yake ya kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu waunga mkono Intifadha mpya ya Palestina
Dec 08, 2017 08:14Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umemalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa yenye vipengee 26 inayosisitiza kuimarishwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kupambana na njama za maadui, ikiwemo njama mpya ya Marekani dhidi ya Quds Tukufu.