Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Watu milioni 1.3 wanahitaji misaada ya dharura Libya

    UN: Watu milioni 1.3 wanahitaji misaada ya dharura Libya

    May 21, 2017 23:40

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni moja na laki tatu nchini Libya wanahitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka kurejeshwa utulivu nchini Libya

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka kurejeshwa utulivu nchini Libya

    May 21, 2017 09:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zote zinazopigana kusini mwa Libya kufanya juhudi za kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo.

  • Umoja wa Mataifa kuwasaidia wakazi wa eneo la Ziwa Chad

    Umoja wa Mataifa kuwasaidia wakazi wa eneo la Ziwa Chad

    May 21, 2017 09:02

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kumetengwa bajeti maalumu ya kuwasaidia wakazi wa eneo la Ziwa Chad ambao kwa sasa wanakabiliwa na hali mbaya kimaisha.

  • UN yaitaka Israel iache kuyakalia kwa mabavu maeneo ya Wapalestina

    UN yaitaka Israel iache kuyakalia kwa mabavu maeneo ya Wapalestina

    May 20, 2017 08:15

    Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukome kuzikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.

  • Umoja wa Mataifa wakosoa kunyongwa watu DRC bila kufikishwa mahakamani

    Umoja wa Mataifa wakosoa kunyongwa watu DRC bila kufikishwa mahakamani

    May 19, 2017 23:32

    Umoja wa Mataifa umekosoa ongezeko la vitendo vya kuwanyonga watu bila kuwapandisha mahakamani na ukiukaji wa haki za binaadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Umoja wa Mataifa: Raia 1,300,000 nchini Niger hawana chakula

    Umoja wa Mataifa: Raia 1,300,000 nchini Niger hawana chakula

    May 18, 2017 02:44

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, raia milioni moja na laki tatu katika nchi ya Niger iliyoko magharibi mwa Afrika wamakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.

  • UN: Ubakaji unatumiwa kama mbinu ya ugaidi Somalia, Nigeria

    UN: Ubakaji unatumiwa kama mbinu ya ugaidi Somalia, Nigeria

    May 16, 2017 09:14

    Umoja wa Mataifa umesema uhalifu wa kijinsia unatumiwa na magaidi kama moja ya mbinu zao katika nchi za Somalia, Nigeria na Mali.

  • Katibu Mkuu UN alaani mashambulio dhidi ya raia na wasimamia amani CAR

    Katibu Mkuu UN alaani mashambulio dhidi ya raia na wasimamia amani CAR

    May 15, 2017 09:44

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulio ya hivi karibuni ya makundi ya wabeba silaha dhidi ya raia na askari wa kusimamia amani wa umoja huo MINUSCA huko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Umoja wa Mataifa wataka kusaidia wakimbizi wa Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa wataka kusaidia wakimbizi wa Sudan Kusini

    May 15, 2017 09:35

    Umoja wa Mataifa umetaka wakimbizi wa Sudan Kusini wasaidiwe ili waweze kujikimu na matatizo mbalimbali wanayokabiliwa nayo.

  • Anti Balaka imeua raia 30 Jamhuri ya Afrika ya Kati, mamia wajificha msikitini

    Anti Balaka imeua raia 30 Jamhuri ya Afrika ya Kati, mamia wajificha msikitini

    May 15, 2017 03:07

    Umoja wa Mataifa umesema yumkini raia zaidi ya 30 wameuawa na kundi la waasi wa Kikristo la Anti-Balaka katika mapigano yanayoendelea hivi sasa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS