Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Umoja wa Mataifa wasikitishwa na kufukuzwa afisa wake nchini Sudan

    Umoja wa Mataifa wasikitishwa na kufukuzwa afisa wake nchini Sudan

    May 23, 2016 02:56

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, kitendo cha Sudan cha kukataa kumuongezea muda wa iqama na kibali cha kuishi afisa mmoja wa ngazi za juu wa umoja huo, kina maana ya kumfukuza nchini humo.

  • Mivutano ya kisiasa Kongo yautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    Mivutano ya kisiasa Kongo yautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    May 23, 2016 02:45

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameelezea wasiwasi wa umoja huo kufuatia kuongezeka mizozo ya kisiasa nchini humo.

  • Bunge la Somalia latakiwa kuidhinisha uchaguzi wa rais

    Bunge la Somalia latakiwa kuidhinisha uchaguzi wa rais

    May 22, 2016 11:51

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na nchi wafadhili za Magharibi zimelitaka Bunge la Somalia kuharakisha mchakato wa kufanyika uchaguzi mkuu katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Balozi wa Kenya UN ateuliwa kuwa mjumbe wa Ban Ki-moon kuhusu El Nino na mabadiliko ya tabianchi

    Balozi wa Kenya UN ateuliwa kuwa mjumbe wa Ban Ki-moon kuhusu El Nino na mabadiliko ya tabianchi

    May 21, 2016 23:52

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewateua Balozi Macharia Kamau wa Kenya na Bi. Mary Robinson wa Ireland kuwa wajumbe wake maalumu kuhusu masuala ya El Niño na mabadiliko ya tabianchi.

  • UN: Tunasikitishwa na kuongezeka jinai za Israel  dhidi ya Wapalestina

    UN: Tunasikitishwa na kuongezeka jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 21, 2016 11:28

    Umoja wa Mataifa umeelezea kusikitishwa kwake na ongezeko la jinai za Israel dhidi ya Wapalestina.

  • UN yalaani kuuawa askari wake wa kulinda amani Mali

    UN yalaani kuuawa askari wake wa kulinda amani Mali

    May 20, 2016 11:55

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani mauaji ya askari watano wa kulinda amani wa Umoja huo nchini Mali ambao walipoteza maisha kufuatia hujuma ya kigaidi.

  • Umoja wa Mataifa: Mgogoro wa wakimbizi ni wa dunia nzima

    Umoja wa Mataifa: Mgogoro wa wakimbizi ni wa dunia nzima

    May 16, 2016 23:50

    Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya wakimbizi amesema kuwa, mgogoro wa wakimbizi ni tatizo la dunia nzima.

  • UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad

    UN: Mamilioni ya watu wanahitajia misaada ya chakula katika eneo la Ziwa Chad

    May 16, 2016 23:46

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mamilioni ya watu katika eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitajia misaada ya chakula.

  • DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho

    DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho

    May 16, 2016 03:20

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepuuzilia mbali ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyodai kuwa nchi hiyo imekuwa ikipokea silaha kutoka Korea Kaskazini.

  • UN: Jeshi la DRC liliwasaidia waasi wa Uganda kuua Wakongomani

    UN: Jeshi la DRC liliwasaidia waasi wa Uganda kuua Wakongomani

    May 15, 2016 09:31

    Ripoti ya siri ya Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa imefichua kuwa, kamanda mwandamizi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo alifadhili na kulipa silaha kundi la waasi wa Uganda la ADF kuua raia wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS