-
Ripoti ya Ahmad Shahidi; ni ripoti yenye malengo ya kisiasa
Mar 12, 2016 10:15Ahmad Shahid Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekariri tena ripoti yake ya kila mwaka kuhusu Iran.
-
UN yaitaka Guinea-Bissau kuheshimu sheria
Mar 08, 2016 11:04Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa kisiasa nchini Guinea-Bissau kuheshimu sheria.
-
Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia nchini Kongo
Mar 05, 2016 22:24Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia kujiri machafuko kupita kiasi nchini humo.
-
Ripoti: Walinda amani wa UN kutoka nchi 21 wahusishwa na kashfa ya ngono
Mar 04, 2016 04:20Umoja wa Mataifa unakabiliwa na hali ngumu inayotishia kuondoa imani ya watu duniani kwa walinda amani wa umoja huo.
-
Sisitizo juu ya ulazima wa kuundwa haraka iwezekanavyo serikali ya umoja wa kitaifa Libya
Mar 03, 2016 09:42Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Libya amesisitiza juu ya ulazima wa kuundwa haraka serikali ya umoja wa kitaifa huko Libya.
-
UN: 50,000 wameuawa katika mapigano ya Sudan Kusini tangu 2013
Mar 03, 2016 09:39Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 50,000 wameuawa katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
Askari wa UN waanza tena kushirikiana na askari wa Congo
Mar 03, 2016 04:52Askari wa kulinda amani na Umoja wa Mataifa wataanza tena kushirikiana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika maenero yenye ghasia na machafuko mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mwanadiplomasia wa UN akosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia
Mar 02, 2016 10:41Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wanawake (UN Women) amekosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia na kusema ni muhali kwa sauti za wanawake kusikika vyema kutokana na uwakilishi wao mdogo bungeni.
-
Wasiwasi kuhusiana na kutiwa nguvuni wapinzani wa serikali ya DRC
Feb 26, 2016 23:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anatiwa wasiwasi na kutiwa nguvuni baadhi ya wapinzani wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mbinyo wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo.
-
UN: Kuna ushahidi wa jinai za kivita Libya
Feb 26, 2016 12:46Umoja wa Mataifa umesema wahusika wote katika mgogoro wa Libya wametenda jina za kivita pamoja na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.