-
Ban Ki-Moon awasili Burundi, kukutana na Nkurunziza
Feb 23, 2016 04:24Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewasili nchini Burundi katika kile kinachoonekana ni kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
UN yalaani mauaji ya wakimbizi Sudan Kusini
Feb 19, 2016 00:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya yaliyotokea katika mojawapo ya vituo vya askari wa kulinda amani wa umoja huo huko Sudan Kusini.
-
Askari wa UN waliwanajisi watoto CAR
Feb 17, 2016 03:36Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekuwa wakiwadhalilisha kijinsia watoto wanne wanaoishi katika kambi ya wakimbizi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Katibu Mkuu wa zamani wa UN afariki dunia
Feb 17, 2016 00:06Mwanasiasa wa Misri Boutros Boutros-Ghali aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuanzia mwaka 1992 hadi 1996 amefariki dunia.
-
UN yachunguza tuhuma za ubakaji za askari wake CAR
Feb 16, 2016 11:30Maafisa wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma mpya zinazowakabili askari wa kulinda amani wa umoja huo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Saudi Arabia yasisitiza kuondolewa haraka Yemen misaada ya kimataifa
Feb 14, 2016 09:53Saudi Arabia imewataka wafanyakazi wa huduma za misaada ya kimataifa kuondoka haraka iwezekakavyo huko Yemen lengo likiwa ni kuzidisha mgogoro wa kibinadamu nchini humo.
-
Walinda amani wawili wa UN wauawa Mali
Feb 12, 2016 11:50Askari wawili wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa katika hujuma ya kigaidi kaskazini mwa Mali.
-
Pendekezo la Ufaransa kwa Baraza la Usalama kuhusu utatuzi wa mgogoro wa Burundi
Feb 11, 2016 11:38Mwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la umoja huo kubuni mbinu mpya za kutatua mgogoro wa Burundi.
-
UN: Wahutu 21 wameuawa katika mapigano nchini DRC
Feb 09, 2016 11:28Umoja wa Mataifa umesema kwa akali watu 21 wameuawa na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa katika mapigano yaliyolenga waasi wa Kihutu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwishoni mwa wiki iliyopita.
-
Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina
Feb 09, 2016 11:24Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.