Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Mazungumzo ya amani Somalia ni ishara nzuri

    UN: Mazungumzo ya amani Somalia ni ishara nzuri

    Jan 09, 2020 21:05

    Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia ambaye pia ni mkuu wa mpango wa umoja huo nchini humo UNSOM jana aliliutembelea mji wa Hargesa, makao makuu ya eneo lililojitangazia uhuru la Somaliland nchini Somalia na kukutana na viongozi wa eneo hilo kujadili uchaguzi na maendeleo.

  • Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya Haftar dhidi ya raia huko Libya

    Umoja wa Mataifa walaani mashambulizi ya Haftar dhidi ya raia huko Libya

    Dec 29, 2019 23:44

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametoa taarifa jana usiku akilaani mashambulizi ya anga yanayofanywa na kundi kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya dhidi ya raia wa nchi hiyo chini ya uongozi wa Khalifa Haftar.

  • Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani

    Russia yamkosoa Guterres kwa kufumbia macho ukiukaji sheria unaofanywa na Marekani

    Dec 26, 2019 22:54

    Kwa kuzingatia kuwa Marekani ndiko yaliko makao makuu ya Umoja wa Mataifa, nchi hiyo ya kibeberu daima imekuwa ikiwawekea vikwazo wanadiplomasia na maafisa wa ngazi za juu wa nchi zinazopinga siasa za Washington, wanaoazimia kusafiri nchini humo kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao ya kikazi.

  • Alkhamisi tarehe 26 Disemba 2019

    Alkhamisi tarehe 26 Disemba 2019

    Dec 25, 2019 21:39

    Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Mfunguo Nane Rabiuthani 1441 Hijria inayosadifiana na Disemba 26 mwaka 2019.

  • UN na jumuiya za kimataifa zapinga hukumu ya kimaonyesho ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    UN na jumuiya za kimataifa zapinga hukumu ya kimaonyesho ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Dec 25, 2019 03:37

    Utawala wa kifalme wa Saudi Arabia una historia ndefe ya ukiukaji wa haki za binadamu na kukandamiza wapinzani wake ndani naa nje ya nchi hiyo. Miongoni mwa vielelezo vya wazi vya ukatili na ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu wa Saudia ni mauaji ya kutisha yaliyofanywa na maajenti wa utawala huo dhidi ya mwandishi na mpiznni wa serikali ya Riyadh, Jamal Khashoggi.

  • Jamii ya kimataifa yapinga hukumu ya kimaonyesho kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Jamii ya kimataifa yapinga hukumu ya kimaonyesho kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Dec 24, 2019 03:09

    Umoja wa Mataifa umetilia mkazo udharura wa kufanyika uchunguzi huru kuhusu mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.

  • Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani

    Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani

    Dec 20, 2019 02:46

    Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.

  • Mlipuko wa ugonjwa wa surua waua watu 70 Samoa

    Mlipuko wa ugonjwa wa surua waua watu 70 Samoa

    Dec 10, 2019 04:07

    Umoja wa Mataifa umesema mlipuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watu katika kisiwa cha Samoa kilichoko katika Bahari ya Pacific.

  • Wahajiri 58 waaga dunia katika ajali ya boti pwani ya Mauritania

    Wahajiri 58 waaga dunia katika ajali ya boti pwani ya Mauritania

    Dec 05, 2019 23:22

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limesema makumi ya wahajiri wamepoteza maisha baada ya boti yao kuzama karibu na pwani ya Mauritania, wakiwa safarini kuelekea Ulaya kutafuta maisha.

  • UN: Ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel unaisababishia Palestina hasara ya dola bilioni 2.5 kwa mwaka

    UN: Ukaliaji ardhi kwa mabavu wa Israel unaisababishia Palestina hasara ya dola bilioni 2.5 kwa mwaka

    Dec 03, 2019 04:17

    Umoja wa Mataifa umesema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina inausababishia uchumi wa Wapalestina hasara ya dola bilioni 2.5 kila mwaka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS