-
Mwakilishi wa Iran katika UN: Marekani na Canada zinatumia vibaya haki za binadamu
Nov 16, 2018 04:31Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani na Canada zinaliangalia suala la haki za binaadamu kama wenzo tu kufanikishia malengo yao.
-
UN: Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa wakirejeshwa Myanmar
Nov 13, 2018 23:09Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bangladesh kusimamisha mpango wake wa kuwarejesha kwa nguvu nchini Myanmar maelfu ya wakimbizi Waislamu wa Rohingya akisisitiza kuwa maisha yao yatakuwa hatarini.
-
Watu 3 wauawa katika shambulizi la magaidi wa al-Qaeda Mali
Nov 13, 2018 10:43Kwa akali raia watatu wa Mali wameuawa huku wanne wa kigeni wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililolenga kituo cha kusafisha madini katika mji wa Gao kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Mahasimu wa Libya kuzungumzia uchaguzi katika kikao cha Italia
Nov 11, 2018 10:43Makundi hasimu ya kisiasa ya Libya yanatazamiwa kukutana kesho Jumatatu katika mkutano wa kujadili masuala ya uchaguzi, utakaofanyika katika mji wa Palermo nchini Italia.
-
Umoja wa Mataifa walaani mashambulio ya kigaidi ya Somalia yaliyoua makumi ya watu
Nov 10, 2018 11:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
UN: Watu milioni 2 wanahitaji msaada wa dharura wa chakula CAR
Nov 08, 2018 12:19Mpango wa Chakula Duniani WFP umesema watu milioni mbili wapo katika hatari ya kupoteza maisha iwapo hawatafikishiwa msaada wa dharura wa chakula huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Umoja wa Mataifa: Wanahabari 88 wameuawa mwaka huu 2018
Nov 02, 2018 04:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema jumla ya waandishi wa habari na wafanyakazi wengine katika sekta ya upashanaji habari 85 wameuawa tokea mwanzoni mwa mwaka huu 2018 hadi sasa katika sehemu mbalimbali duniani.
-
Umoja wa Mataifa kuzingatia zaidi ulinzi wa amani barani Afrika
Nov 02, 2018 02:30Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Balozi Ma Zhaoxu amesema, Baraza la Usalama la umoja huo litatilia maanani kazi za mijadala kuhusu ushirikiano wa pande kadhaa na ulinzi wa amani barani Afrika mwezi huu, ambao China inashika uenyekiti wa zamu wa baraza hilo.
-
UN yalaani jinai mpya za Wazayuni Palestina
Oct 30, 2018 01:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuwaua watoto wa Palestina hakikubaliki kabisa.
-
Ulaya na Umoja wa Mataifa zasisitiza azma yao ya kuyalinda makubaliano ya JCPOA
Oct 25, 2018 08:28Licha ya Marekani kuyapinga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, lakini nchi za Ulaya zinasisitiza kulindwa makubaliano hayo muhimu ya kimataifa. Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akichukua misimamo iliyo dhidi ya makubaliano hayo ambayo yalifikiwa mwezi Julai mwaka 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo marekani yenyewe na anayataja kuwa ni makubaliano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa!