-
Wasiwasi wa makamanda wa Marekani kutokana na vita tarajiwa vya Rais Trump dhidi ya Korea Kaskazini
Mar 03, 2018 04:09Katika kikao maalumu na baada ya kuchunguza athari za mashambulizi tarajiwa ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, makamanda wa jeshi la nchi hiyo wamesema kuwa, katika saa za mwanzo za mashambulizi hayo kwa akali askari elfu 10 wa Marekani watakuwa wameuawa.
-
Ijumaa tarehe Pili Machi, 2018
Mar 01, 2018 23:05Leo ni Ijumaa tarehe 13 Jamadithani 1439 Hijria sawa na Pili Machi 2018.
-
Iran: Marekani inawasaidia wavamizi wa Yemen
Feb 27, 2018 04:27Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai ya kukaririwa na ya kuchosha ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi Iran ni msaada kwa wavamizi wa Yemen.
-
Mwakilishi wa UN Burundi aeleza wasiwasi kuhusu hali ya ndani nchini humo
Feb 27, 2018 03:35Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi ameliambia Baraza la Usalama la umoja huo kwamba mgogoro wa nchi hiyo unatia wasiwasi.
-
UN yasema itaendelea kuunga mkono mapambano dhidi ya al-Shabaab Somalia
Feb 25, 2018 11:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sambamba na kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyoua makumi ya watu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, amesisitiza kuwa umoja huo utaendelea kuunga mkono jitihada za kulitokomeza kundi la kigaidi na la ukufurishaji la al-Shabaab.
-
UN yaendelea kuandamwa na kashfa za kijinsia
Feb 23, 2018 21:20Mkurugenzi mtendaji wa mpango wa kudhibiti UKIMWI wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, naibu wa mkuu wa ofisi hiyo amelazimika kujiuzulu kutokana na tuhuma za kimaadili zinazomkabili.
-
UN yakosoa ukandamizaji wa waandishi habari Sudan Kusini
Feb 23, 2018 00:22Umoja wa Mataifa umekosoa mienendo na hatua zinazochukuliwa na serikali ya Sudan Kusini dhidi ya waandishi wa habari.
-
UN: Thuluthi moja ya Warundi wanahitaji misaada ya kibinadamu
Feb 21, 2018 04:10Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesema mtu mmoja kwa kila raia watatu wa Burundi atahitaji misaada ya kibinadamu mwaka huu, hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 20 ikilinganishwa na mwaka jana 2017.
-
Umoja wa Mataifa waonyesha matumaini ya kufikiwa makubaliano ya amani Sudan Kusini
Feb 16, 2018 04:15Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Sudan Kusini ameeleza matarajio yake juu ya kufikiwa makubaliano ya amani ya kuhitimisha machafuko nchini humo katika mazungumzo yanayoendelea hivi sasa mjini Addis Abab, Ethiopia.
-
Guterres: Kuijenga upya Iraq kunahitajia umoja wa kitaifa
Feb 14, 2018 13:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameunga mkono ubunifu wa kila namna uliotolewa kuhusu kuijenga upya Iraq na kusisitiza kuwa, ujenzi mpya wa nchi hiyo iliyoharibiwa vibaya na vita unahitajia umoja wa kitaifa kati ya watu wa matabaka yote nchini humo.