Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Waasi washambulia kituo cha askari wa Umoja wa Mataifa DRC

    Waasi washambulia kituo cha askari wa Umoja wa Mataifa DRC

    Oct 10, 2017 04:42

    Duru za kuaminika huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimesema kuwa, waasi wa Uganda wameshambulia kituo cha askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa mashariki mwa Kongo.

  • UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi laki 8 wa Myanmar waliopo Bangladesh

    UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi laki 8 wa Myanmar waliopo Bangladesh

    Oct 08, 2017 04:37

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kutoandaliwa kambi kwa ajili ya kuwahifadhi wakimbizi Waislamu wa Rohingya wapatao laki nane huko Bangladesh ni jambo hatari sana.

  • Watu watatu wauawa katika shambulio la kituo cha UN, DRC

    Watu watatu wauawa katika shambulio la kituo cha UN, DRC

    Oct 07, 2017 04:21

    Watu watatu wameuawa na askari wawili wa Umoja wa Mataifa wamejeruhiwa baada ya kundi la watu kushambulia kituo cha kijeshi cha Umoja wa Mataifa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana Ijumaa.

  • Waziri wa Ulinzi wa Uholanzi ajiuzulu kutokana na mauaji ya askari wa UN, Mali

    Waziri wa Ulinzi wa Uholanzi ajiuzulu kutokana na mauaji ya askari wa UN, Mali

    Oct 04, 2017 04:37

    Waziri wa Ulinzi wa Uholanzi ametangaza kujiuzulu wadhifa wake baada ya ripoti kufichua udhaifu mkubwa wa idara iliyokuwa chini yake wakati wa operesheni ya Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA.

  • Machafuko yashtadi Cameroon, Guterres ataka yafanyike mazungumzo

    Machafuko yashtadi Cameroon, Guterres ataka yafanyike mazungumzo

    Oct 04, 2017 04:31

    Hali ya taharuki na mchafukoge imeripotiwa kushtadi nchini Cameroon huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakivitaka vyombo vya usalama nchini humo kutotumia mbinu za ukatili kuzima malalamiko na maandamano ya wananchi wanaotaka majimbo yao yajitenge na serikali kuu ya Yaounde.

  • Saudia yawekwa tena katika orodha nyeusi ya UN kwa kuua watoto Yemen

    Saudia yawekwa tena katika orodha nyeusi ya UN kwa kuua watoto Yemen

    Oct 04, 2017 04:24

    Jina la Saudi Arabia limeonekana katika rasimu ya siri ya orodha nyeusi ya Umoja wa Mataifa kutokana na mauaji na mateso yanayofanywa na Riyadh dhidi ya watoto wa Yemen.

  • OCHA: Hali ya mambo Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    OCHA: Hali ya mambo Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    Sep 28, 2017 23:53

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika maeneo ya magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Benki ya Dunia yatahadharisha kuhusu mgogoro wa elimu wa mamilioni ya watoto duniani

    Benki ya Dunia yatahadharisha kuhusu mgogoro wa elimu wa mamilioni ya watoto duniani

    Sep 27, 2017 22:59

    Benki ya Dunia imetahadharisha kuhusiana na mgogoro wa elimu wa mamilioni ya watoto katika pembe mbalimbali duniani hasa katika nchi masikini na maeneo ya vita na machafuko.

  • UN yajitosa katika uchaguzi wa marudio Kenya, wapinzani kuandamana dhidi ya IEBC

    UN yajitosa katika uchaguzi wa marudio Kenya, wapinzani kuandamana dhidi ya IEBC

    Sep 26, 2017 04:20

    Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini mkataba na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) kuhusu zabuni ya karatasi za kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.

  • UN: Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan kutoka Iraq itavuruga amani

    UN: Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan kutoka Iraq itavuruga amani

    Sep 26, 2017 04:16

    Kwa mara nyingine tena António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kitendo cha viongozi wa eneo la Kurdistan huko kaskzini mwa Iraq kushikilia suala la kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS