Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Wito wa Mogherini wa kutaka EU na Russia ziwe na msimamo mmoja kuhusiana na JCPOA

    Wito wa Mogherini wa kutaka EU na Russia ziwe na msimamo mmoja kuhusiana na JCPOA

    Dec 17, 2016 03:43

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametaka kuwepo na msimamo mmoja baina ya umoja huo na Russia katika kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wa makubaliano hayo.

  • Umoja wa Ulaya: Makundi ya kisiasa Gabon yafanye mazungumzo

    Umoja wa Ulaya: Makundi ya kisiasa Gabon yafanye mazungumzo

    Dec 16, 2016 11:35

    Umoja wa Ulaya umeyataka makundi ya kisasa nchini Gabon kufanya mazungumzo mapana kuhusu suala la kutaka kuitisha tena uchaguzi nchini humo.

  • Lambert Mende: Vikwazo vya EU dhidi ya maafisa wa DRC si vya kisheria

    Lambert Mende: Vikwazo vya EU dhidi ya maafisa wa DRC si vya kisheria

    Dec 12, 2016 23:18

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya ilivyowawekea baadhi ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa si halali.

  • UN na EU zalaani shambulizi la kigaidi katika soko nchini Somalia

    UN na EU zalaani shambulizi la kigaidi katika soko nchini Somalia

    Nov 28, 2016 12:35

    Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea katika soko la mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Umoja wa Ulaya, mshirika wa Israel katika kutenda jinai dhidi ya Wapalestina

    Umoja wa Ulaya, mshirika wa Israel katika kutenda jinai dhidi ya Wapalestina

    Nov 22, 2016 03:51

    Wawakilishi wa zaidi ya wafanyakazi milioni tatu barani Ulaya wamelaani ushirikiano wa umoja huo na Israel katika kutenda jinai dhidi ya watu wanaoendelea kudhulumiwa wa Palestina.

  • Gambia yaizuia timu ya waangalizi wa uchaguzi wa EU nchini humo

    Gambia yaizuia timu ya waangalizi wa uchaguzi wa EU nchini humo

    Nov 19, 2016 04:21

    Serikali ya Gambia imekataa kuruhusu timu ya waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya EU kuingia nchini humo kwa ajili ya kufuatilia uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mapema mwezi ujao.

  • Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC

    Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC

    Nov 18, 2016 23:18

    Hatua ya Russia ya kutangaza kujitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imezikasirisha nchi za Magharibi za Ulaya na Marekani.

  • Mogherini: Trump hana uwezo wa kubatilisha JCPOA

    Mogherini: Trump hana uwezo wa kubatilisha JCPOA

    Nov 14, 2016 04:34

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 hayawezi kubatilishwa na serikali moja kwa kuwa yana baraka kamili ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Erdogan: EU inafanya njama ya kutoijumuisha Uturuki katika umoja huo

    Erdogan: EU inafanya njama ya kutoijumuisha Uturuki katika umoja huo

    Nov 13, 2016 12:44

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Umoja wa Ulaya unafanya njama ya kuishinikiza nchi yake iachane na mchakato wa kujiunga na umoja huo.

  • Mazungumzo ya Iran na Umoja wa Ulaya na fursa zilizopo

    Mazungumzo ya Iran na Umoja wa Ulaya na fursa zilizopo

    Nov 10, 2016 23:52

    Maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya wamekutana mjini Brussels Ubelgiji na kufanya mazungumzo kuhusiana na mambo muhimu yanayolihusu eneo la Mashariki ya Kati pamoja na masuala ya pande mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS