-
Deby: EU ishirikiane na viongozi wa Afrika kukomesha wimbi la wahajiri
Oct 13, 2016 04:30Rais Idris Deby wa Chad amesema ili kulipatia ufumbuzi jinamizi la wahajiri kumiminika barani Ulaya, sharti Umoja wa Ulaya uwahusishe viongozi wa Afrika katika mikakati yake ya kukomesha wimbi hilo la wahamiaji haramu.
-
Iran yakosoa waraka wa Bunge la Umoja wa Ulaya
Oct 08, 2016 04:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa waraka ambao utachunguzwa na Bunge la Umoja wa Ulaya kuhusu mustakabali wa uhusiano wa umoja huo na Iran.
-
Erdogan: EU iwe imeijumuisha Uturuki kufikia mwisho wa mwezi huu
Oct 02, 2016 04:50Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameupa Umoja wa Ulaya hadi mwisho wa mwezi huu uwe umekamilisha mchakato wa nchi hiyo kujiunga na EU.
-
Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo kwa Spika wa Bunge la Libya
Oct 01, 2016 10:03Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, umemuongezea muda wa vikwazo Spika wa Bunge la Taifa la Libya.
-
Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata
Aug 18, 2016 09:31Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa shakhsia na viongozi wa kwanza wa dunia kumpongeza Edgar Lungu kwa kushinda uchaguzi wa rais uliogubikwa na utata na ambao upinzani umeelekea mahakamani kupinga matokeo yake.
-
EU: Idadi ya wahajiri wanaoingia Italia imeongezeka kwa 12%
Aug 13, 2016 03:00Shirika la Umoja wa Ulaya la Frontex linaloshughulikia masuala ya mipaka limesema idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Italia imeongezeka kwa asilimia 12.
-
Chuki dhidi ya wahajiri Uingereza zaongezeka baada ya Brexit
Jul 01, 2016 03:39Chuki dhidi ya wahajiri nchini Uingereza zimeongezeka kwa asilimia 500, siku chache baada ya nchi hiyo kupiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit.
-
Uingereza yapiga kura kujiondoa Umoja wa Ulaya, EU
Jun 23, 2016 22:28Matokeo yasiyo rasmi ya kura ya maoni iliyopigwa hapo jana kuhusu Uingereza kujitoa au kubakia ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) yanaonyesha kuwa Waingereza wataondoka EU.
-
Umoja wa Ulaya waahidi kushirikiana na Afrika Magharibi dhidi ya ugaidi
Jun 25, 2016 01:55Umoja wa Ulaya umesema kuwa utashirikiana na nchi za eneo la Magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Cameron ajiuzulu kama Waziri Mkuu baada ya Uingereza kujiondoa EU
Jun 24, 2016 03:53Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amejiuzulu baada ya Waingereza kupiga kura ya kujiondoa katika Umoja wa Ulaya.