-
Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo kwa Russia
Jun 17, 2016 10:22Baraza la Umoja wa Ulaya limerefusha vikwazo vya umoja huo dhidi ya Russia.
-
EU na mikakati mipya nchini Mali ya kuzuia wahamiaji haramu
Jun 16, 2016 03:16Umoja wa Ulaya umesema unatekeleza mikakati huko Mali kwa lengo la kuzuia kuendelea wimbi la wahamiaji haramu kuelekea Ulaya.
-
UN yaidhinisha kupanuliwa operesheni za EU, Libya
Jun 15, 2016 03:27Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa sauti moja limepasisha azimio linaloupa idhini Umoja wa Ulaya kuongeza operesheni za vikosi vyake vya majini katika pwani ya Libya, katika Bahari ya Mediterranean.
-
EU yailazimisha mitandao ya kijamii kutia saini sheria ya kukabiliana na mafundisho ya kundi la Daesh
May 31, 2016 22:39Umoja wa Ulaya unaendeleza juhudi za kudhibiti kikamilifu katika mitandao ya kijamii mafundisho ya ukatili na ubaguzi vinavyofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel
May 27, 2016 03:21Uholanzi imekataa wito wa utawala wa kibaguzi wa Israel wa kupiga marufuku kampeni inayozidi kupanuka ya kimataifa ya kutaka walimwengu wasusie bidhaa za Israel.
-
Libya yauomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake
May 23, 2016 06:42Serikali ya Libya imeuomba Umoja wa Ulaya uisaidie kulinda fukwe zake kupitia kutoa mafunzo kwa jeshi la majini la nchi hiyo.
-
Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA
Apr 30, 2016 11:47Rais Hassan Rouhani ameutaka Umoja wa Ulaya utoe ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi na kusisitizia ulazima wa kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia (JCPOA).
-
Burundi yawatimua raia wa nchi zilizosimamisha ushirikiano na Bujumbura
Apr 22, 2016 10:45Burundi imewataka raia wa nchi za kigeni zilizosimamisha ushirikiano na serikali ya Bujumbura, kuondoka nchini humo.
-
Mogherini: Hakuna kinachozuia ushirikiano wa kibenki kati ya Ulaya na Iran
Apr 17, 2016 08:53Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa maagizo mapya ya kiutekelezaji kwa ajili ya kushirikiana benki za Ulaya na Iran yameandaliwa na kwamba hakuna kizuizi chochote kinachozuia kutekelezwa ushirikiano wa nchi za Ulaya na Iran.
-
Umoja wa Ulaya watangaza kuwa tayari kuchunguza utekelezaji wa jukumu la kiusalama nchini Libya
Apr 17, 2016 00:12Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa upo tayari kuchunguza utekelezaji wa jukumu la kiusalama huko Libya iwapo serikali ya nchi hiyo itataka jambo hilo.