Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Mkuu wa Sera za Nje wa EU awasili Tehran na ujumbe wa ngazi za juu

    Mkuu wa Sera za Nje wa EU awasili Tehran na ujumbe wa ngazi za juu

    Apr 16, 2016 03:00

    Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amewasili hapa mjini Tehran akiandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa wanasiasa, wawekezaji na wafanyabiashara wa Ulaya katika safari inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Iran na EU.

  • EU yatakiwa kususia bidhaa zinazozalishwa na Wazayuni

    EU yatakiwa kususia bidhaa zinazozalishwa na Wazayuni

    Apr 05, 2016 03:13

    Umoja wa Ulaya umetakiwa kususia bidhaa zinazozalishwa na utawala wa kizayuni wa Israel.

  • EU yawawekea vikwazo viongozi wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya

    EU yawawekea vikwazo viongozi wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya

    Apr 02, 2016 01:46

    Umoja wa Ulaya EU umeanza kutekeleza mpango wa kuwawekea vikwazo viongozi wa kisiasa wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya.

  • EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia

    EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia

    Mar 29, 2016 11:14

    Umoja wa Ulaya unapanga kupunguza ufadhili wake kwa askari wa Burundi ambao ni miongoni mwa wanajeshi wa Kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM.

  • Mogherini: Mpango wa JCPOA uko katika mkondo sahihi

    Mogherini: Mpango wa JCPOA uko katika mkondo sahihi

    Mar 16, 2016 03:45

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza katika ripoti aliyotoa baada ya kufanyika kikao cha mashauriano kati yake na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya kuwa utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) upo katika mkondo sahihi.

  • Umoja wa Ulaya wasimamisha msaada wa moja kwa moja kwa serikali ya Burundi

    Umoja wa Ulaya wasimamisha msaada wa moja kwa moja kwa serikali ya Burundi

    Mar 14, 2016 12:50

    Umoja wa Ulaya umesimamisha msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwa serikali ya Burundi baada ya kuthibitisha kuwa haijafanya juhudi za kutosha ili kupata suluhisho kwa mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo uliosababisha vifo vya watu zaidi ya 400.

  • Taasisi za kimataifa zakaribisha kuidhinishwa matokeo ya uchaguzi wa CAR

    Taasisi za kimataifa zakaribisha kuidhinishwa matokeo ya uchaguzi wa CAR

    Mar 05, 2016 11:43

    Taasisi za kimataifa zimekaribisha hatua ya kuidhinishwa Rais mpya wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Yemen yakaribisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Saudia

    Yemen yakaribisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Saudia

    Feb 26, 2016 04:43

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amekaribisha kwa mikono miwili mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea vikwazo na marufuku ya kuuziwa silaha Saudi Arabia.

  • EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki

    EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki

    Feb 24, 2016 04:12

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita baina ya Russia na Uturuki.

  • Wito wa kimataifa wa kudhamini usalama wa wakimbizi

    Wito wa kimataifa wa kudhamini usalama wa wakimbizi

    Feb 21, 2016 04:48

    Taasisi kadhaa za kimataifa zimetoa wito wa kudhaminiwa usalama na kulindwa maisha ya wakimbizi wanaojaribu kuingia Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS