-
Sababu za kimsingi za umasikini wa watoto katika Mashariki ya Kati
May 18, 2017 22:18Utafiti uliofanywa na Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF katika nchi 11 za Mashariki ya Kati unaonyesha kuwa, kwa akali watoto milioni 29 ambao ni robo ya watoto wote wa eneo hili wanaishi katika umasikini.
-
UNICEF yatoa indhari ya watoto kubaki bila ya walezi Magharibi mwa Afrika
May 18, 2017 10:34Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Watoto UNICEF umetangaza kuwa kati ya kila watoto watano, mmoja amepoteza wazazi wake wote wawili kutokana na ugonjwa wa Ukimwi magharibi mwa Afrika.
-
UNICEF: Maradhi ya ukimwi yangali ni tishio duniani
May 07, 2017 08:56Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetangaza kuwa, bado maradhi ya ukimwi yangali ni tishio ulimwenguni.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya watoto katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 05, 2017 23:39Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetoa indhari na onyo kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya watoto na kubakia bila makazi raia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UNICEF: Watoto elfu 30 wanahitaji chanjo ya haraka nchini Somalia
Apr 25, 2017 22:02Mjumbe wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) nchini Somalia amesisitizia udharura wa kupatiwa chanjo maelfu ya watoto kusini mwa nchi hiyo.
-
Unicef yafikia maeneo yanakojiri mapigano huko Sudan
Apr 23, 2017 09:26Serikali ya Sudan imeruhusu kuingia wataalamu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) katika maeneo yanayojiri mapigano.
-
Watoto wahajiri 150 waaga dunia katika bahari ya Mediterania
Apr 21, 2017 11:38Watoto wahajiri zaidi ya 150 waliokuwa wakielekea Ulaya wameaga dunia katika bahari ya Mediterania.
-
Unicef na Wfp zatoa msaada wa chakula kwa Sudan Kusini
Mar 28, 2017 22:26Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa pamoja zimegawa misaada mbalimbali kwa raia 145,000 wa Sudan Kuisni wakiwemo watoto elfu 33 walio na umri wa chini ya miaka mitano.
-
UNICEF: Watoto Waafrika wavukao Mediteranea kuelekea Ulaya wanateswa vibaya
Mar 01, 2017 00:27Safari ya watoto wanaokimbia mizozo na mateso Afrika kwenda Ulaya kupitia bahari ya Mediteranea imegubikwa na mateso ikiwemo ukatili wa kingono na kulazimishwa kufanya kazi.
-
UNICEF: Hali ya watoto barani Afrika inasikitisha
Feb 22, 2017 23:34Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto barani Afrika.