-
Sisitizo la kuongezwa ushirikiano wa Iran na Venezuela na ghadhabu za Washington kwa hilo
Aug 12, 2020 02:31Katika miaka ya hivi karibuni Iran na Venezuela zimeandamwa na vikwazo vya kiuchumi na kisiasa vya Marekani na viongozi wa White House wamefanya juhudi kubwa kutumia nyenzo mbalimbali ili wazifanye nchi mbili hizi zisalimu amri na kufuata siasa za Washington.
-
Kuendelea ushirikiano wa Iran na Venezuela licha ya vitisho vya Marekani
Aug 06, 2020 06:27Ushirikiano wa kibiashara na kisiasa wa Iran na Venezuela unaendelea kuimarika licha ya kuwepo vitisho na vikwazo vya Marekani. Kutumwa meli za mafuta za Iran nchini Venezuela mwezi uliopita ilikuwa hatua ya kwanza katika uwanja huo na sasa Iran imechukua hatua nyingine ya kufungua duka kubwa la bidhaa zake katika mki mkuu wa nchi hiyo, Caracas.
-
Iran na Tunisia zatilia mkazo ulazima wa kustawishwa ushirikiano wa pande mbili
Jul 07, 2020 11:03Balozi wa Iran nchini Tunisia amefanya mazungumzo na waziri wa biashara wa nchi hiyo na pande mbili zimejadiliana njia za kuimarisha na kustawisha uhusiano wa pande mbili hasa wa kiuchumi.
-
Jitihada za Umoja wa Ulaya za kulinda mshikamano na uchumi wa pamoja
Apr 12, 2020 07:36Kutokana na kuendelea janga la ugonjwa wa corona barani Ulaya na kuongezeka wasiwasi kuhusu taathira mbaya za kiuchumi na kisiasa kutokana na janga hilo, wakuu wa Umoja wa Ulaya wametenga mfuko wa dharura wa Euro billioni 500 kwa ajili ya kukabiliana na madhara yanayotokana na ugonjwa huo angamizi.
-
Rais Rouhani atilia mkazo kuimarishwa ushirikiano na nchi mbalimbali za dunia
Jan 21, 2020 12:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni na kielimu kati ya Iran na nchi mbalimbali za dunia.
-
Iran inashirikiana kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani
Jun 22, 2019 07:22Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina ushirikiano wa karibu wa kiuchumi na zaidi ya nchi 70 duniani.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Pakistan mjini Tehran; ukurasa mpya wa ushirikiano wa pande mbili
Apr 21, 2019 13:42Imran Khan, Waziri Mkuu wa Pakistan leo Jumapili ameanza safari ya siku mbili humu nchini kwa mwaliko rasmi wa Rais Hassan Rouhani wa Iran.
-
Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Dec 05, 2018 08:09Mkuu wa Jumuiya ya Masuala ya Dini nchini Uturuki amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki ambazo ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati zinapaswa kuzidisha ushirikiano kwa ajili ya kupambana na ugaidi na njama zinazoeneza propaganda za kuchafua sura safi ya Uislamu.
-
Uungaji mkono wa Facebook kwa siasa za kigaidi za Israel
Nov 27, 2018 08:13Mtandao wa kijami wa Facebook umepiga marufuku kusambazwa picha za kikosi maalumu cha ugaidi cha utawala wa Kizayuni katika oparesheni iliyofanywa hivi karibuni huko Ukanda wa Ghaza.
-
Mashirika 110 ya Ulaya yako tayari kushirikiana na Iran katika sekta ya mafuta
Oct 21, 2018 02:36Mkuu wa Jumuiya ya Watengenezaji wa Vifaa vya Sekta ya Mafuta nchini Iran amesema kuwa, mashirika 110 ya Ulaya yametangaza kwamba yako tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya mafuta.