-
Mashirika 110 ya Ulaya yako tayari kushirikiana na Iran katika sekta ya mafuta
Oct 21, 2018 02:36Mkuu wa Jumuiya ya Watengenezaji wa Vifaa vya Sekta ya Mafuta nchini Iran amesema kuwa, mashirika 110 ya Ulaya yametangaza kwamba yako tayari kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika sekta ya mafuta.
-
Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo
Sep 27, 2018 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haitojali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na itaendeleza ushirikiano wake na Tehran kama kawaida.
-
Viongozi wa Afrika wasisitiza kuimarishwa ushirikiano kwa ajili ya kutatua migogoro ya bara hilo
Jul 02, 2018 12:35Kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika AU kimefanyika huko Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania chini ya kaulimbiu ya 'Ushindi katika Mapambano dhidi ya Ufisadi; Njia Endelevu Kuelekea Mabadiliko Barani Afrika.'
-
Iran na Senegal kuimarisha ushirikiano wao katika uga wa sayansi
Jun 17, 2018 14:40Jamhuri ya Kiislamu na Iran na Senegal zimeazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga mbalimbali na hususan ushirikiano wao katika uga wa sayansi.
-
Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 09, 2018 17:10Balozi wa Iran nchini Ivory Coast ameonana na Spika wa Bunge la Senate la nchi hiyo na kujadiliana naye njia za kuimarishwa uhusiano baina ya mabunge ya nchi hizi mbili.
-
Rais Rouhani: Mashirika ya Iran yako tayari kutoa huduma za ufundi na uhandisi kwa Sri Lanka
May 13, 2018 15:47Rais Hassan Rouhani amesema Iran iko tayari kupanua uhusiano na ushirikiano wa pande zote na Sri Lanka.
-
Zimbabwe yataka kuimarisha zaidi uhusiano wake na Iran
Apr 05, 2018 14:44Makamu wa Rais wa Zimbabwe amehimiza kuimarishwa uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makundi ya kitakfiri yahudumia malengo ya utawala wa Kizayuni
Jan 27, 2018 04:14Duru za habari zimefichua sura mpya na pana zaidi ya ushirikiano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi ya kitakfiri na kigaidi huko Syria na kutangaza kwamba, utawala huo umeunda kundi la kigaidi kwa ajili ya kuusaidia utawala huo katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya Golan.
-
Rwanda yasisitiza kuhusu azma ya kustawisha uhusiano na Iran
Jan 19, 2018 07:48Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema nchi yake imekusudia kustawisha uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote.
-
Sisisitizo la Ufaransa na Misri la kuimarisha uhusiano wao wa kijeshi
Dec 17, 2017 12:27Paris na Cairo zimesisitizia azma yao ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyuga tofauti za kijeshi na kiusalama.