Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ushirikiano

  • Iran na Ghana zasisitiza kupanua ushirikiano wao katika sekta ya kilimo

    Iran na Ghana zasisitiza kupanua ushirikiano wao katika sekta ya kilimo

    Nov 15, 2017 03:53

    Waziri wa Jihadi ya Kilimo wa Iran na Makamu wa Rais wa Ghana wamesisitizia udharura wa kufanyika kikao cha kamisheni ya pamoja ya uchumi na kupanuliwa ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya nchi mbili.

  • Kufichuliwa ushiriki wa Imarati katika vitendo vya kigaidi vya Israel

    Kufichuliwa ushiriki wa Imarati katika vitendo vya kigaidi vya Israel

    Jun 17, 2017 12:19

    Habari mbalimbali zimearifu tukio jipya la namna Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unavyoshiriki katika vitendo vya kigaidi vya utawala wa Israel; suala ambalo katika siku za hivi karibuni kwa mara nyingine tena limeakisi ushirikiano uliopo kati ya watawala wa Kiarabu na maghasibu wanaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu katika kuwakandamiza wananchi wa Palestina na kusogeza mbele siasa za kigaidi za Israel.

  • Kenya na Iran kuimarisha mahusiano ya pande zote

    Kenya na Iran kuimarisha mahusiano ya pande zote

    Jun 02, 2017 04:23

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya, Hadi Farajvand amesema kuwa, mahusiano ya Kenya na Iran hususan katika uga wa uchumi, yamestawi sana katika miaka ya hivi karibuni.

  • Iran na Zimbabwe zajadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Iran na Zimbabwe zajadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    May 17, 2017 13:57

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe zimejadili njia mbalimbali za kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi mbili hizo.

  • Kukiri Saudi Arabia kushirikiana na Israel katika mauaji ya watu wa Yemen

    Kukiri Saudi Arabia kushirikiana na Israel katika mauaji ya watu wa Yemen

    May 09, 2017 06:26

    Duru za habari zinadokeza kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshirikiana wazi wazi na jeshi la Saudia katika kuhujumu eneo la Ta'izz nchini Yemen jambo linaloashiria kukiri wazi wazi Saudi kuwa inahitaji msaada wa utawala huo haramu katika kuwakandamiza wanamapinduzi wa Yemen.

  • Kuongezeka ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Israel wakati wa Donald Trump

    Kuongezeka ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Israel wakati wa Donald Trump

    May 06, 2017 06:25

    Takwimu zinaonesha kuwa, ushirikiano wa kijeshi baina ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka katika kipindi hiki ambapo Donald Trump anatarajiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni. Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel mwisho mwa mwezi huu wa Mei.

  • Zarif: Iran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano na Russia

    Zarif: Iran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano na Russia

    Mar 28, 2017 08:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inataka kuimarisha zaidi uhusiano wa kisiasa na kiuchumi na ushirikiano wa kikanda na serikali ya Moscow.

  • UN: Tutashirikiana na Gambia kuwashughulikia waliotenda jinai enzi za utawala wa Jammeh

    UN: Tutashirikiana na Gambia kuwashughulikia waliotenda jinai enzi za utawala wa Jammeh

    Mar 02, 2017 07:52

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, uko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Gambia katika masuala ya kimahakama na haki za binadamu.

  • Rais Rouhani: EU itumie benki za Ulaya kufanya kazi na Iran

    Rais Rouhani: EU itumie benki za Ulaya kufanya kazi na Iran

    Feb 11, 2017 16:42

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran na Umoja wa Ulaya zinapaswa kushirikiana na wakati huo huo ametoa mwito kwa benki za Ulaya kuwa na uhusiano zaidi na Iran ili pande mbili ziweze kunufaika na maslahi ya pamoja.

  • Iran na Armenia zasaini hati tano za ushirikiano

    Iran na Armenia zasaini hati tano za ushirikiano

    Dec 21, 2016 14:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Armenia zimesaini hati tano za mapatano na makubaliano ya ushirikiano kwa kuhudhuriwa na Marais wa Iran Hassan Rouhani na mwenzake wa Armenia, Serzh Sargsyan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS