-
Kuanza mwaka wa tisa wa mwamko wa kimapinduzi wa watu wa Bahrain
Feb 15, 2019 02:49Februari 14 mwaka 2019, umetimiza mwaka wa nane tokea uanze mwamko wa kimapinduzi wa watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kiimla wa Aal Khalifa. Mapinduzi ya watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa ambayo ni maarufu kama "Mapinduzi ya Lulu" yalianza Februari 14 mwaka 2011.
-
Harakati ya Al-Wifaq: Utawala wa Bahrain na Israel zina maslahi ya pamoja
Feb 14, 2019 08:09Harakati ya Al-Wifaq nchini Bahrain imetangaza kuwa, utawala wa kifamilia wa nchi hiyo wa Aal-Khalifa na utawala haramu wa Israel zina maslahi na manufaa ya pamoja.
-
Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana
Feb 13, 2019 02:32Kamati ya Kimatiafa ya Haki za Binadamu Eneo la Asia Magharibi imesema hali ya haki za binadamu inazidi kuwa mbaya nchini Bahrain ambapo ukoo wa Aal Khalifa ambao unatawala nchi hiyo umehusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
-
Mahakama ya utawala wa Bahrain yaidhinisha kifungo cha maisha jela kwa Sheikh Ali Salman
Jan 28, 2019 14:04Mahakama Kuu ya utawala wa Aal Khalifa imemhukumu kifungo cha maisha jela Sheikh Ali Salman Katibu Mkuu wa Jumuiya ya al Wifaq ya nchi hiyo. Jumuiya hiyo inatambulika kama chama kikuu kinachoupinga utawala wa Manama.
-
Mwaka 2019, mwaka mbaya zaidi kwa haki za binaadamu nchini Bahrain
Jan 21, 2019 01:32Kamati ya watu waliotiwa mbaroni katika Ukanda wa Pwani nchini Bahrain imetangaza kwamba, katika jela ya Jau nchini Bahrain, maafisa usalama wa utawala wa Aal-Khalifa na katika kulipiza kisasi dhidi ya wafungwa wa kesi za uhuru wa kujieleza, wanatekeleza siasa za kuwatesa kwa njaa wafungwa hao.
-
Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut
Jan 17, 2019 07:44Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la kulaani jinai za utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya ukandamizaji wa serikali ya Manama kwa raia wake.
-
Ripoti: Wafungwa wa kisiasa Bahrain wana hali mbaya
Jan 10, 2019 07:14Kituo cha Haki za Binadamu na Demokrasia nchini Bahrain kimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wanaharakati wa kutetea haki za binadamu waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa nchini humo.
-
Serikali mpya ya Bahrain; dhihirisho la nembo kubwa zaidi ya Udikteta
Dec 08, 2018 07:57Baada ya kufanyika uchaguzi wa kimaonyesho wa bunge nchini Bahrain, Mfalme Hamad bin Isa Aal Khalifa amemkabidhi tena jukumu la kuunda serikali mpya, mtu yule yule ambaye anajulikana kuwa waziri mkuu pekee katika historia ya nchi hiyo.
-
Utawala wa Aal Khalifa Bahrain washindwa kuhalalisha mamlaka yake
Dec 06, 2018 08:00Mkuu wa Jumuiya ya Haki za Binadamu na Demokrasia ya Bahrain amesema kuwa, jitihada za utawala wa Aal Khalifa za kuuhalalisha utawala huo kupitia ushiriki wa wananchi kwenye uchaguzi zimegonga mwamba.
-
Al Wifaq: Duru ya pili ya uchaguzi imeonyesha ukubwa wa mgogoro wa kisiasa ulioikumba Bahrain
Dec 02, 2018 14:51Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Bahrain ya al Wifaq amesisitiza kuwa kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge nchini humo si tu kuwa kumeonyesha kiwango cha matatizo ya kisiasa yaliyoisibu nchi hiyo lakini pia umedhihirisha namna uchaguzi huo ulivyokuwa wa kichekesho na kimaonyesho.