-
HAMAS: Makombora yetu yataendelea kuwatwanga Wazayuni
Nov 30, 2017 00:13Brigedi za Shahid Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesisitiza kuwa, silaha za muqawama zitaendelea kuelekezwa upande wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mbinu za Netanyahu za kutaka kupanua uhusiano wa Israel na nchi za Afrika
Nov 29, 2017 11:00Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amefanya safari yake ya tatu barani Afrika katika mkakati wake wa kutaka kupanua uhusiano wa utawala huo haramu na nchi za bara hilo kwa kuitembelea Kenya kwa kisingizio cha kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta.
-
Umoja wa Ulaya walalamikia jinai za Israel
Nov 27, 2017 12:03Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Kizayuni ukomeshe kuvunja nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Guterres atahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kuendelea kukiuka anga ya Lebanon
Nov 26, 2017 04:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka vitendo vya kukiuka anga ya Lebanon vinavyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mpango wa nyuklia wa utawala wa Israel ni hatari kwa usalama na amani duniani
Nov 25, 2017 04:12Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA, amesema shughuli za nyuklia za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa mataifa ya eneo na jamii ya kimataifa.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel wakiri kuwa na uhusiano na Saudia
Nov 20, 2017 04:10Waziri wa Nishati wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema, Israel na Saudi Arabia zimekuwa zikiwasiliana kwa siri kuizungumzia Iran.
-
Ijumaa, Novemba 3, 2017
Nov 03, 2017 00:38Leo ni Ijumaa tarehe 14 Mfunguo Tano Safar 1439 Hijria sawa na Novemba 3, 2017 Milaadia.
-
Wazayuni waunda kikosi kipya cha polisi ili kuwakandamiza zaidi Waislamu
Nov 02, 2017 00:41Waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa amri ya kuundwa kikosi kingine maalumu kitakachowakandamiza Wapalestina katika Msikiti wa al Aqsa.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel yadumishwe
Nov 01, 2017 04:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akiagiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
-
Jumapili 29
Oct 28, 2017 23:37Leo ni Jumapili tarehe tisa Swafar 1439 Hijria, sawa na tarehe 29 Oktoba, 2017 Miladia.