Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kushindwa Umoja wa Ulaya  kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza

    Kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza

    Dec 16, 2023 08:03

    Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Ulaya umemalizika huku viongozi wa nchi 27 za Ulaya wakishindwa kufikia makubaliano ya pamoja katika taarifa yao ya mwisho kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na matukio ya Gaza.

  • Kuangamizwa askari wengine 11 wa Kizayuni huko Gaza

    Kuangamizwa askari wengine 11 wa Kizayuni huko Gaza

    Dec 13, 2023 04:21

    Wanajeshi wengine 11 wa Kizayuni wameangamizwa katika vita vya wanamapambano wa Kipalestina, Hamasa katika Ukanda wa Gaza.

  • Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani

    Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani

    Dec 12, 2023 23:09

    Marekani ikiwa ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni sio tu kwamba, imetoa uungaji mkono mkubwa wa kisiasa na kisilaha kwa utawala huo wakati wa vita vya Gaza, bali mfumo tawala wa Washington pia umeongeza mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Wapalestina na wakosoaji wa jinai za utawala ghasibu wa Israel.

  • Wapalestina 200 wameuawa shahidi Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita

    Wapalestina 200 wameuawa shahidi Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita

    Dec 12, 2023 08:29

    Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza imetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi huko katika Ukanda wa Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita.

  • Asilimia 61 ya nyumba za raia Ukanda wa Gaza zimebomolewa

    Asilimia 61 ya nyumba za raia Ukanda wa Gaza zimebomolewa

    Dec 11, 2023 23:24

    Idara ya Habari ya Serikali ya Gaza imeripoti kwamba asilimia 61 ya nyumba za raia wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza zimebomolewa katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Uhalalishaji Marekani kura yake ya turufu kuhusu mauaji ya kimbari ya Wazayuni huko Gaza

    Uhalalishaji Marekani kura yake ya turufu kuhusu mauaji ya kimbari ya Wazayuni huko Gaza

    Dec 11, 2023 23:09

    Licha ya matakwa ya kimataifa ya kusitishwa mara moja vita vya mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza, lakini Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, imepinga maombi hayo na inaendelea kuwasha moto wa vita hivyo vya umwagaji damu kwa kutuma silaha za kila aina huko Gaza.

  • Hamas yakanusha uongo wa Netanyahu, yasema kamwe haitaweka chini silaha

    Hamas yakanusha uongo wa Netanyahu, yasema kamwe haitaweka chini silaha

    Dec 11, 2023 08:23

    Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya Hamas amekadhibisha uongo wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuhusu eti kujisalimisha kwa wapiganaji wa harakati hiyo kwa jeshi la Israel akisema uongo huo ni kielelezo cha kufilisika na kushindwa utawala wa Kizayuni kutokana na mapambano makali ya wapigania uhuru wa Palestina.

  • Kura ya veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza

    Kura ya veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza

    Dec 09, 2023 07:57

    Marekani, ambayo ni mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, imepinga azimio lililopendekezwa na UAE la kuanzisha usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.

  • Hizbullah ya Lebanon yashambulia ndani ya saa moja vituo sita vya jeshi la Kizayuni

    Hizbullah ya Lebanon yashambulia ndani ya saa moja vituo sita vya jeshi la Kizayuni

    Dec 09, 2023 02:42

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imevishambulia vituo sita vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa "silaha mwafaka" na kuvisababishia hasara kadhaa.

  • Idadi ya mashahidi waliouawa na Israel Ukanda wa Gaza yapindukia elfu 17

    Idadi ya mashahidi waliouawa na Israel Ukanda wa Gaza yapindukia elfu 17

    Dec 07, 2023 11:40

    Msemaji wa Wizara ya Afya huko Gaza amesema: Watu 17,177 wameuawa shahidi Ukanda wa Gaza tangu kuanza hujuma na mashambuulizi ya kikatili ya za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS