Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Sisitizo la Uturuki la kutokuwa Saudia na ustahiki wa kushughulikia faili la mauaji ya Khashoggi

    Sisitizo la Uturuki la kutokuwa Saudia na ustahiki wa kushughulikia faili la mauaji ya Khashoggi

    Jul 07, 2020 03:22

    Wakati Uturuki inaendelea kufuatilia faili la kesi ya watu waliomuua Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa vikali utawala wa Aal Saud, maafisa wa Ankara wangali wanasisitiza kuwa, serikali ya Saudi Arabia haina ustahiki wa kushughulikia na kuendesha kesi ya Msaudia huyo aliyeuliwa ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki akiwa na umri wa miaka 59.

  • Uturuki: Saudia haina ustahiki wa kuendesha kesi ya wauaji wa Khashoggi

    Uturuki: Saudia haina ustahiki wa kuendesha kesi ya wauaji wa Khashoggi

    Jul 06, 2020 06:48

    Mshauri wa Rais wa Uturuki amesisitiza kuwa, Saudi Arabia haina ustahiki wa kuendesha kesi za wauaji wa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki.

  • Uturuki yasisitiza kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya

    Uturuki yasisitiza kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya

    Jul 04, 2020 23:23

    Waziri wa Ulinzi wa Uturuki ameutembelea mji mkuu wa Libya Tripoli, na kusema nchi yake itaendelea kushirikiana na Serikali ya Muafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA).

  • Mahakama ya Uturuki yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya Jamal Khashoggi

    Mahakama ya Uturuki yaanza kusikiliza kesi ya mauaji ya Jamal Khashoggi

    Jul 03, 2020 03:19

    Mahakama moja nchini Uturuki leo imetazamiwa kusikiliza kesi ya maafisa 20 wa Saudi Arabia walioshtakiwa kwa mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa nchi hiyo.

  • Hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi kaskazini mwa Syria

    Hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi kaskazini mwa Syria

    Jul 03, 2020 02:37

    Uturuki imetangaza kuwa imetuma kundi jingine la kikosi maalumu cha jeshi la nchi hiyo katika eneo la Ras al Ain huko kaskazini mwa Syria.

  • Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya

    Uturuki: Ufaransa imefumbia macho jinai zinazofanywa na UAE, Misri nchini Libya

    Jul 01, 2020 21:45

    Balozi wa Uturuki mjini Paris ameituhumu Ufaransa kuwa inaegemea upande mmoja na kwamba imefumbia macho jinai zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri nchini Libya.

  • Kituo cha kijeshi cha Uturuki nchini Somalia chashambuliwa, 2 wauawa

    Kituo cha kijeshi cha Uturuki nchini Somalia chashambuliwa, 2 wauawa

    Jun 23, 2020 23:21

    Kwa akali raia wawili wamepoteza maisha katika shambulizi la kigaidi lililolenga kambi ya kijeshi ya Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Jun 23, 2020 03:04

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.

  • Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya

    Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya

    Jun 22, 2020 04:52

    Ibrahim Kalin, Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa usitishaji vita utatekelezwa nchini Libya kwa sharti kuwa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Hafta waondoke katika mji wa Sirte.

  • Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika

    Uturuki: UAE inataka kuchochea uasi dhidi ya serikali za Afrika

    Jun 19, 2020 23:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ameutuhumu Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa unapania kuchochea harakati za uasi dhidi ya serikali katika nchi za Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS