-
Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil awafariji maelfu ya maskini, wakimbizi wa Syria katika harusi yake
Jun 08, 2019 07:37Mchezaji nyota wa klabu ya Arsenal mwenye asili ya Uturuki siku ya Ijumaa alifunga ndoa na barafu wake wa moyo mwenye uraia pacha wa Uturuki na Sweden, Amina Gulche.
-
Rais Erdoğan: Licha ya mashinikizo ya Marekani, tutanunua ngao ya S 400
Jun 05, 2019 00:11Kwa mara nyingine Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, licha ya mashinikizo ya Marekani yanayoitaka inchi yake kuachana na mpango wa kununua ngao ya makombora ya S 400 ya Russia, Ankara haitoachana na azma yake ya kununua ngao hiyo.
-
Iran na Uturuki kuanzisha mfumo wao wa kifedha ili kuimarisha biashara
Jun 02, 2019 03:33Serikali za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimekusudia kuanzisha mfumo wao mpya wa kifedha kwa ajili ya kuimarisha biashara kati ya pande mbili.
-
Uturuki: Hatujaakhirisha uamuzi wa kununua ngao ya S 400 ya Russia
Jun 01, 2019 03:04Serikli ya Uturuki imekadhibisha habari zilizoenezwa kwamba imesimamisha kwa muda mchakato wa ununuzi wa ngao ya makombora ya S 400 ya Russia kwa pendekezo la Marekani.
-
Mshauri wa Erdogan amuonya Mfalme wa Saudia dhidi ya kuwanyonga wanazuoni
May 29, 2019 03:40Mshauri wa Rais Recep Tayip Erdogan wa Uturuki amemuandikia barua Mfalme Salman Bin Abdulaziz Aal-Saud wa Saudi Arabia, akimtahadharisha juu ya matokeo mabaya ya mpango wa utawala wake wa kuwanyonga wanazuoni watatu mashuhuri nchini humo baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Jumatatu, Mei 27, 2019
May 26, 2019 21:49Leo ni Jumatatu tarehe 21 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 1440 Hijria sawa na tarehe 27 Mei mwaka 2019 Miladia.
-
Uturuki: Lazima tutanunua ngao ya S 400 na tunapinga urefushaji muda wa Marekani
May 24, 2019 07:49Serikali ya Uturuki kupitia Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, imepinga suala la kurefushwa muda kwa lengo la kuifanya ilegeze msimamo wake wa kununua ngao ya makombora ya S 400 kutoka Russia.
-
Khalifa Haftar atishia kuziangamiza meli za Uturuki
May 21, 2019 22:51Kamanda wa vikosi vinavyojiiita Jeshi la Kitaifa la Libya amewaamuru wapiganaji wake kuishambulia meli yoyote ya Uturuki ambayo itakaribia katika eneo la pwani ya Libya.
-
Serikali ya Libya kuanzisha operesheni mpya kwa kutumia silaha za Uturuki
May 19, 2019 20:51Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj imetangaza habari ya kupokea zana mpya za kivita, vifaru na magari ya deraya kwa ajili ya kuyatumia katika operesheni zake dhidi ya wapiganaji wa jenerali muasi Khalifa Haftar.
-
Erdogan: Uturuki kuunda na Russia mifumo ya makombora ya S-500
May 19, 2019 08:19Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa nchi yake na Russia kwa pamoja zitaunda mifumo ya makombora ya S-500 baada ya mpango wake wa awali wa kunununua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Moscow kuzusha mivutano.